mkuu leo utakesha hapa kwani muasisi wa udini humjui? Ni mwalimu nyerere.ndio maana anapewa hadhi ya utakatifu kanisani.mkamap,
mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda somalia nyingine.
Zakumi,
Si kweli kwamba TAA ilikuwa na matawi kila kona ya Tanzania. TANU ndiyo iliyowezesha kuwepo matawi hayo. Vyama vya ushirika vilisaidia sana kusambaza ujumbe wa TANU. Kawawa atakuhakikishia hilo.
nani aliwauwa abeid karume na sokoine?hapana. Sijakubali nyerere ni muuaji. Usiniwekee maneno kinywani nikiwa bado hai. Sijui nani aliyemwua babu yako. Lakini nina hakika hakuwa nyerere.
mkuu una ushahidi?mkuu leo utakesha hapa kwani muasisi wa udini humjui? Ni mwalimu nyerere.ndio maana anapewa hadhi ya utakatifu kanisani.
Japo sikuwepo enzi hizo nafikiri watu hawamtendei haki mzee yule.
Nyerere hakuwa na tabia ya kulipa fadhila eti kwa vile tu umemchangia sh 10 ktk harakati basi akupe uwaziri hata kama darasa kwao ni zero ,kama leo tunayoyaona.
Pili Nyerere alikuwa na zero tolarence, ukifisadi ana kuchangia hata kama ni rafiki yako hakuna kuangalia nyani usoni ktk utawala bora.
Tatu kwa logic za kawaida tu eti alikuwa si mstaarabu amevalishwa kaputula nalo nafikiri ni uzushi, Siamini hao watu wa pwani walikuwa wastaarabu kuliko wakoloni wa kizungu maana Nyerere wakati anajiunga na TAA tayari alikuwa na masters kutoka uingereza na tayari alikuwa kwisha kuwa mwalimu siku nyingi kwa wamision.
Na hata hivyo sioni mantiki kabisa ktk haya mambo sijui wa enzi hizo kuna nini cha ajabu huko
Kanda2!nani aliwauwa abeid karume na sokoine?
kama wiki tatu au nne kulikuwa na kikao uganda cha kumfanya nyerere kuwa mtatifu wa kanisa katoliki.nisahihishe.mkuu una ushahidi?
Ushahidi hana. Lakini hahitaji kwa sababu yeye mwenyewe ni authority wa historia.mkuu una ushahidi?
nilikuwa nataka kujua muuaji wa watu hao.nashukuru kwa kumtaja.kanda2!
ushahidi hana. Lakini hahitaji kwa sababu yeye mwenyewe ni authority wa historia.
kuna mtu aliwahi kusema humu kuwa wewe ni MDINI nilimpinga lakini sasa naanza akukubali...kama nilivyo na ushahidi wa nyerere na udini.
Miji yote ya mwambao hakujenga shule kwa chuki zake za kidini. Mfano dar-es-salaam hadi anaondoka kwenye urais hakuwahi kujenga hata sekondari moja. Lindi ilikuwa na sekondari moja, mtwara hali mbaya.pwani usiseme.
Hivi sasa kama angefufuka na kukuta waislam wana chuo kikuu sijui ingekuwaje?
Kanda1,kama nilivyo na ushahidi wa nyerere na udini.
Miji yote ya mwambao hakujenga shule kwa chuki zake za kidini. Mfano dar-es-salaam hadi anaondoka kwenye urais hakuwahi kujenga hata sekondari moja. Lindi ilikuwa na sekondari moja, mtwara hali mbaya.pwani usiseme.
Hivi sasa kama angefufuka na kukuta waislam wana chuo kikuu sijui ingekuwaje?
muasisi wa udini nyerere na kila alilofanya yeye hatuna budi kuiga.kuna mtu aliwahi kusema humu kuwa wewe ni mdini nilimpinga lakini sasa naanza akukubali...
Hujathibitisha kuwa kanisaani wanamuitaa nyerere mtaakatifu......kamaa huna uthibitisho naakuombaa uombe radhi kwa bandiko lako
dhibitisha kwamba kanisa wamepa hadhi JK nyerere......kama huna omba radhi.....Lindi,pwani na Mtwara walimkosea nini kutowajengea sekondari ?wilaya kama Mafia hakuwahi kuwa na sekondari toka uhuru hadi NYERERE ANAONDOKA.
wapi kanisa limepa hadhi ya utakatifu nyerere? mkuu hivi una uhakika na kila unachoandika au basi tu una bonyeza keyboard?muasisi wa udini nyerere na kila alilofanya yeye hatuna budi kuiga.
wewe uko dunia gani? Mchakato wa kumfanya awe hivyo umefanyika uganda alikuwepo museveni,mama maria na kardinar pengo kiasi cha wiki tatu au nne.dhibitisha kwamba kanisa wamepa hadhi jk nyerere......kama huna omba radhi.....
kweli wewe mdini mkubwa unabisha kitu kiko wazi kabisa zaidi ya miaka mitatu sasa mchakato unafanyika.wiki nne shughuli ilikuwa uganda.dhibitisha kwamba kanisa wamepa hadhi jk nyerere......kama huna omba radhi.....
Wapi kanisa limepa hadhi ya utakatifu nyerere? Mkuu hivi una uhakika na kila unachoandika au basi tu una bonyeza keyboard?
mkuu hayo ndio uliosema.....kuwa anapewa hadhi ya utakatifu kanisani...alafu unakuja na lingine ati mchakato.....ndio maana anapewa hadhi ya utakatifu kanisani.
YO YO.
Kimya? hukusikia mchakato huu wa NYERERE NA KANISA ZAIDI YA MWAKA WA TATU HIVI SASA AWE MWENYIHERI WA KIKATOLIKI? UKO DUNIA GANI?
lol wewe unahitaji upewe shule......WILAYA YA MAFIA KWA ZAIDI YA MIAKA 35 HAIKUWA NA SHULE HATA MOJA YA SEKONDARI.
BAGAMOYO ILIKUWA MAKAO MAKUU YA TANGANYIKA WAKATI WA UKOLONI YEYE AKAIUA BAGAMOYO HATA KUFANYA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI AKAONA CHOYO AKAPELEKA KIBAHA.
HUYO NDIO NYERERE.