Japo sikuwepo enzi hizo nafikiri watu hawamtendei haki mzee yule.
Nyerere hakuwa na tabia ya kulipa fadhila eti kwa vile tu umemchangia sh 10 ktk harakati basi akupe uwaziri hata kama darasa kwao ni zero ,kama leo tunayoyaona.
Pili Nyerere alikuwa na zero tolarence, ukifisadi ana kuchangia hata kama ni rafiki yako hakuna kuangalia nyani usoni ktk utawala bora.
Tatu kwa logic za kawaida tu eti alikuwa si mstaarabu amevalishwa kaputula nalo nafikiri ni uzushi, Siamini hao watu wa pwani walikuwa wastaarabu kuliko wakoloni wa kizungu maana Nyerere wakati anajiunga na TAA tayari alikuwa na masters kutoka uingereza na tayari alikuwa kwisha kuwa mwalimu siku nyingi kwa wamision.
Na hata hivyo sioni mantiki kabisa ktk haya mambo sijui wa enzi hizo kuna nini cha ajabu huko