Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

mkamap,
mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda somalia nyingine.
mkuu leo utakesha hapa kwani muasisi wa udini humjui? Ni mwalimu nyerere.ndio maana anapewa hadhi ya utakatifu kanisani.
 
Zakumi,
Si kweli kwamba TAA ilikuwa na matawi kila kona ya Tanzania. TANU ndiyo iliyowezesha kuwepo matawi hayo. Vyama vya ushirika vilisaidia sana kusambaza ujumbe wa TANU. Kawawa atakuhakikishia hilo.

Nime-Exaggerate kusema kila kona. Lakini nilikuwa na maana ya mijini. Na mijini kwenye influence. Hao wa vijijini walikuwa wanafuata tu kwa kuogopa kulipa kodi.

Kawawa alikuwa ni kwenye vyama vya wafanyakazi. Na vyama vya wafanyakazi vilikuwa na influence kubwa kuliko vyama vya ushirika. Na hiyo ni fact.
 
hapana. Sijakubali nyerere ni muuaji. Usiniwekee maneno kinywani nikiwa bado hai. Sijui nani aliyemwua babu yako. Lakini nina hakika hakuwa nyerere.
nani aliwauwa abeid karume na sokoine?
 
Japo sikuwepo enzi hizo nafikiri watu hawamtendei haki mzee yule.

Nyerere hakuwa na tabia ya kulipa fadhila eti kwa vile tu umemchangia sh 10 ktk harakati basi akupe uwaziri hata kama darasa kwao ni zero ,kama leo tunayoyaona.

Pili Nyerere alikuwa na zero tolarence, ukifisadi ana kuchangia hata kama ni rafiki yako hakuna kuangalia nyani usoni ktk utawala bora.

Tatu kwa logic za kawaida tu eti alikuwa si mstaarabu amevalishwa kaputula nalo nafikiri ni uzushi, Siamini hao watu wa pwani walikuwa wastaarabu kuliko wakoloni wa kizungu maana Nyerere wakati anajiunga na TAA tayari alikuwa na masters kutoka uingereza na tayari alikuwa kwisha kuwa mwalimu siku nyingi kwa wamision.

Na hata hivyo sioni mantiki kabisa ktk haya mambo sijui wa enzi hizo kuna nini cha ajabu huko

Mkamap:

Nchi karibu zote za kiAfrika yametokea yale yaliotokea Tanzania. Watu walipigania uhuru hili wawe katika maisha yao ya kawaida.

Lakini baada ya uhuru viongozi walileta experiments zao za kijamii na ukiritimba ambao umefanya nchi za kiAfrika kuwa masikini kupindukia.

Vyama vya wafanyakazi, vyama vya ushirika vilisaidia katika kupata uhuru. Lakini katika Tanzania huru hivyo vilikuwa ni vyama vya mwanzo kutokomea. Sasa huo ni uhuru gani?
 
ushahidi hana. Lakini hahitaji kwa sababu yeye mwenyewe ni authority wa historia.

kama nilivyo na ushahidi wa nyerere na udini.
Miji yote ya mwambao hakujenga shule kwa chuki zake za kidini. Mfano dar-es-salaam hadi anaondoka kwenye urais hakuwahi kujenga hata sekondari moja. Lindi ilikuwa na sekondari moja, mtwara hali mbaya.pwani usiseme.

Hivi sasa kama angefufuka na kukuta waislam wana chuo kikuu sijui ingekuwaje?
 
kuna mtu aliwahi kusema humu kuwa wewe ni MDINI nilimpinga lakini sasa naanza akukubali...

hujathibitisha kuwa kanisaani wanamuitaa nyerere mtaakatifu......kamaa huna uthibitisho naakuombaa uombe radhi kwa bandiko lako
 
kama nilivyo na ushahidi wa nyerere na udini.
Miji yote ya mwambao hakujenga shule kwa chuki zake za kidini. Mfano dar-es-salaam hadi anaondoka kwenye urais hakuwahi kujenga hata sekondari moja. Lindi ilikuwa na sekondari moja, mtwara hali mbaya.pwani usiseme.

Hivi sasa kama angefufuka na kukuta waislam wana chuo kikuu sijui ingekuwaje?
Kanda1,
Naona uwongo ni sera zako. Mimi nimesoma Dsm wakati wa enzi za Mwalimu na kwa taarifa yako kulikuwa na sekondari chungu nzima kuanzia Aga Khan, Azania, Jangwani, Aga Khan Girls, St. Xavier, St. Joseph, Pugu, Shaaban Robert. etc. Sasa wewe ulitaka mjengewe ngapi? Kama hakujenga hata moja ni kwa sababu zilikuwepo za kutosha kulinganisha na miji mingine. Leta uwongo mwingine.
 
Lindi,pwani na Mtwara walimkosea nini kutowajengea sekondari ?wilaya kama Mafia hakuwahi kuwa na sekondari toka uhuru hadi NYERERE ANAONDOKA.
 
kuna mtu aliwahi kusema humu kuwa wewe ni mdini nilimpinga lakini sasa naanza akukubali...

Hujathibitisha kuwa kanisaani wanamuitaa nyerere mtaakatifu......kamaa huna uthibitisho naakuombaa uombe radhi kwa bandiko lako
muasisi wa udini nyerere na kila alilofanya yeye hatuna budi kuiga.
 
Lindi,pwani na Mtwara walimkosea nini kutowajengea sekondari ?wilaya kama Mafia hakuwahi kuwa na sekondari toka uhuru hadi NYERERE ANAONDOKA.
dhibitisha kwamba kanisa wamepa hadhi JK nyerere......kama huna omba radhi.....
muasisi wa udini nyerere na kila alilofanya yeye hatuna budi kuiga.
wapi kanisa limepa hadhi ya utakatifu nyerere? mkuu hivi una uhakika na kila unachoandika au basi tu una bonyeza keyboard?
 
dhibitisha kwamba kanisa wamepa hadhi jk nyerere......kama huna omba radhi.....
wewe uko dunia gani? Mchakato wa kumfanya awe hivyo umefanyika uganda alikuwepo museveni,mama maria na kardinar pengo kiasi cha wiki tatu au nne.
Hata mtikila amepinga sana nyerere kufanyiwa mchakato huo.
 
Sasa Kanda2, kama Wakristo wakiamua kumfanya Nyerere(RIP) mtakatifu wewe itakunyima kula au utapungukiwa na lolote?

Inamaana mnataka kusema kabla ya hao wazee wa-'kiswahili' kumfundisha Mwalimu kuvaa suruali na kaptula alikuwa anavaa lubega?
 
YO YO.
Kimya? hukusikia mchakato huu wa NYERERE NA KANISA ZAIDI YA MWAKA WA TATU HIVI SASA AWE MWENYIHERI WA KIKATOLIKI? UKO DUNIA GANI?
WILAYA YA MAFIA KWA ZAIDI YA MIAKA 35 HAIKUWA NA SHULE HATA MOJA YA SEKONDARI.
BAGAMOYO ILIKUWA MAKAO MAKUU YA TANGANYIKA WAKATI WA UKOLONI YEYE AKAIUA BAGAMOYO HATA KUFANYA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI AKAONA CHOYO AKAPELEKA KIBAHA.
HUYO NDIO NYERERE.
 
dhibitisha kwamba kanisa wamepa hadhi jk nyerere......kama huna omba radhi.....

Wapi kanisa limepa hadhi ya utakatifu nyerere? Mkuu hivi una uhakika na kila unachoandika au basi tu una bonyeza keyboard?
kweli wewe mdini mkubwa unabisha kitu kiko wazi kabisa zaidi ya miaka mitatu sasa mchakato unafanyika.wiki nne shughuli ilikuwa uganda.
Kwanini asipewe obote au kaunda wa zambia?
 
ndio maana anapewa hadhi ya utakatifu kanisani.
mkuu hayo ndio uliosema.....kuwa anapewa hadhi ya utakatifu kanisani...alafu unakuja na lingine ati mchakato.....

YO YO.
Kimya? hukusikia mchakato huu wa NYERERE NA KANISA ZAIDI YA MWAKA WA TATU HIVI SASA AWE MWENYIHERI WA KIKATOLIKI? UKO DUNIA GANI?

WILAYA YA MAFIA KWA ZAIDI YA MIAKA 35 HAIKUWA NA SHULE HATA MOJA YA SEKONDARI.
BAGAMOYO ILIKUWA MAKAO MAKUU YA TANGANYIKA WAKATI WA UKOLONI YEYE AKAIUA BAGAMOYO HATA KUFANYA MAKAO MAKUU YA MKOA WA PWANI AKAONA CHOYO AKAPELEKA KIBAHA.
HUYO NDIO NYERERE.
lol wewe unahitaji upewe shule......
 
Back
Top Bottom