MkamaP,
Mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda Somalia nyingine.
bwa ha ha ha ha mkuu ina maana mchakato kupewa hadhi ya utakatifu?.......hata wewe ukitaka anza mchakato wakuwa mtakatifu ruksa......unaposema ati anapeewa hadhi ya mtakatifu unajua maana yake?kweli wewe mdini mkubwa unabisha kitu kiko wazi kabisa zaidi ya miaka mitatu sasa mchakato unafanyika.wiki nne shughuli ilikuwa uganda.
Kwanini asipewe obote au kaunda wa zambia?
Zakumi,Jasusi:
Hivi makao makuu ya nchi wakati wa mkoloni yangekuwa Chamwino, si ina maana watu wa Chamwino wangeshiriki zaidi kuliko wengine?
Hapa wanaotajwa sana ni watu waliokuwepo DSM na sio pwani nzima. Pwani inaanzia Tanga mpaka Mtwara.
yo yo.
ANgekuwa hai hata JF isingekuwepo tukubali marehemu alikuwa na roho ya korosho ndio maana hakuweza kuwa na mwili.
Wewe nawe udini umekuzidi. Kajilipue kule palestine basi na waarabu wenzako
Mdini ni Nyerere aliYEipeleka Tanzania kwenye vita vya Uganda ili kumuokoa mkatoliki mwenzake OBOTE.
hatukuwa na sababu ya kujiingiza kwenye vita na UGANDA ILIKUWA BASED ON UDINI WA MWALIMU.NDIO MAANA WANAMPA UTAKATIFU WA KIKATOLIKI KAFANYA KAZI KUBWA.
INTERNATIONAL LAW INASEMA KAMA MTU KAKUVAMIA MTOE KWAKO HADI MPAKANI MWAKE.NYERERE ALIPELEKA JESHI HADI NDANI YA UGANDA KINYUME NA SHERIA.
MATOKEO YAKE TUKAAMBIWA TUJIFUNGE MIKANDA MIEZI 18 YA NJAA IKAWA HADI MZEE MWINYI AKAJA KUTUNUSURU NA NJAA.
wadini ni wairaq na wairan waliopigana kwa miaka karibu kumi. Wadini ni wale mashia wanaoua masuni na vinginevyo kule iraq leo hii. Wadini ni matelabani ambao wameua maelfu ya waislam wenzao kule pakistani kwa sababu za kidini na ambazo hazieleweki kwa wadini wenzao.
Unaongea udini gani wewe?
ireland wanauana kila siku kwa mabomu ira.
Hitler aliua watu milioni sita alikuwa anaishi iraq?
Rwanda watu milioni moja waliuliwa 1994 waliokimbilia kanisani waliouliwa na waliokimbilia misikiti walisalimika.
Kutokana na tukio hilo uislam umekuwa kwa asilimia 30 toka baada ya vita,hakuna mkristu au aisye na dini aliyekimbilia msikitini aliuliwa.
Mahakama ya kimbari iliwakamata mapadri walioshiriki kuua.
Bomu la hiroshima japan dini gani walipiga?
utaenda lini afghanistan kuwaunga mkono wenzako?
obama akilala akiamka anawaza huko afghanstan kwani kuna utajiri wa mafuta.
Jiulize kwanini obama anataka urafiki na nchi za kiislam? Jibu ili uchumi wa marekani ukue, mtikisiko wa uchumi duniani utanusurika kwa waarabu kuweka mapesa yao kwenye mabenki ya marekani.lehman brothers bank ya wakatoliki ndio ilikuwa ya kwanza kufilisika.marekani.
Bush aliwafukuza waarab sasa toka wameondoa pesa zao marekani uchumi unayumba akaenda kuwalamba miguu cairo.
kanda1,
naona uwongo ni sera zako. Mimi nimesoma dsm wakati wa enzi za mwalimu na kwa taarifa yako kulikuwa na sekondari chungu nzima kuanzia aga khan, azania, jangwani, aga khan girls, st. Xavier, st. Joseph, pugu, shaaban robert. Etc. Sasa wewe ulitaka mjengewe ngapi? Kama hakujenga hata moja ni kwa sababu zilikuwepo za kutosha kulinganisha na miji mingine. Leta uwongo mwingine.
Bado unaendeleza chuki zako za kidini. Lehman haijawahi kuwa na haitawahi kuwa benki ya wakatoliki. Jiandae kwenda jihad Afghanistani maana huko ni bora kwa vichwa kama vyako vyenye chuki ya kidini.
60% YA SHARE ZA LEHMAN BROTHER NI ZA WAKATOLIKI UKO DUNIA GANI WEWE? BENKI ILIYODUMU KWA MIAKA ZAIDI YA 160.WAKATOLIKI WAKAOMBA BUSH AIPE PESA ZA SERIKALI (Bail out)AKAKATAA NA KUIPA taasisi ya AIG.
hujalazimishwa kusoma,ama hakika ukweli siku zote unauma.Ebu soma post ya Mkandara tena tuondolee upupu wako wa dini tushachoka ebo!!.
Mkandara,Wakuu,
Kama sikosei kulikuwepo na vyama zaidi ya viwili uchaguzi wa kwanza..(Mtemvu na Fundikira) mbona hatuna historia ya vyama hivi kuasisiwa kwake na washiriki..
Pia nasikia Marreale alipigania Uhuru kwa jimbo lake wakati huo huo..
kuna mtu anajua zaidi kuhusiana na watu hawa.. au ndio zile za AbdulRahman Babu!.
Nia ya Mhe. Mkandara ni njema kabisa lakini ndugu yetu Junius naona umeenda nje ya mstari. Unamlaumu Baba wa Taifa eti alijali umaarufu wake tu wengine aaa! You are being very unfair to him! Did you expect him kusimama jukwaani na kutoa orodha ya wale alioshirikiana nao katika kupigania Uhuru? Ama ulitaka pamoja na makujumu mazito ya kuliongoza taifa basi aketi chini awaandikie historia. Kazi hiyo ni yenu wasomi na hata wale wasio wasomi kuandika historia ya nchi hii kwa kuwafuata wanasiasa na wananchi ambao bado wako hai wanaojua kilichotokea miaka hiyo. Hata hivyo Mwalimu did justice to his fellow wapiganaji kwa sababu amewahi mara kadhaa kuwataja watu kama akina Mzee Tambaza, Sykes, Rupia na wengine wengi tu katika hotuba zake wakati akisimulia juu ya harakati za kupigania Uhuru. And for your information baada ya kustaafu wapo Watanzania waliokuwa wakionana naye na na kupata simulizi na mengi yaliyotokea katika historia ya nchi hii. I assure you, he wasn't all that mean kama unavyotaka kutuaminisha Junius!
Kwa uzoefu wangu, naona wengi wanaomkandia Mwalimu na kumshutumu kwa namna moja ama nyingine ni wale ambao kama si wao basi 'ancestors' wao waliguswa na 'fimbo' ya Mwalimu katika mambo kadha wa kadha.