Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

MkamaP,
Mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda Somalia nyingine.

Jasusi:

Hivi makao makuu ya nchi wakati wa mkoloni yangekuwa Chamwino, si ina maana watu wa Chamwino wangeshiriki zaidi kuliko wengine?

Hapa wanaotajwa sana ni watu waliokuwepo DSM na sio pwani nzima. Pwani inaanzia Tanga mpaka Mtwara.
 
kweli wewe mdini mkubwa unabisha kitu kiko wazi kabisa zaidi ya miaka mitatu sasa mchakato unafanyika.wiki nne shughuli ilikuwa uganda.
Kwanini asipewe obote au kaunda wa zambia?
bwa ha ha ha ha mkuu ina maana mchakato kupewa hadhi ya utakatifu?.......hata wewe ukitaka anza mchakato wakuwa mtakatifu ruksa......unaposema ati anapeewa hadhi ya mtakatifu unajua maana yake?
 
Jasusi:

Hivi makao makuu ya nchi wakati wa mkoloni yangekuwa Chamwino, si ina maana watu wa Chamwino wangeshiriki zaidi kuliko wengine?

Hapa wanaotajwa sana ni watu waliokuwepo DSM na sio pwani nzima. Pwani inaanzia Tanga mpaka Mtwara.
Zakumi,
Hilo sina pingamizi nalo. Ninachopinga ni hizi juhudi za kumwonyesha Nyerere kuwa alikuwa mbu3 mpaka alipokutana na Waswahili wakamvalisha kaptura/suruali na kumpa mwangaza wa nationalism.
 
Hehehe, I can speculate kuwa hawa waungwana ndio wanaweka kauzibe makao makuu yasihamishiwe Dodoma.

Hivi kuna ubaya gani mkiweka maswala ya udini na ukabila pembeni? Kama wazee wa kizaramo walimfundisha Mwalimu kuvaa na yeye in return akawazidi ujanja well sh** happens and life goes on, hii ya kulia lia kwenye kizazi hiki haitobadilisha chochote.
 
yo yo.
ANgekuwa hai hata JF isingekuwepo tukubali marehemu alikuwa na roho ya korosho ndio maana hakuweza kuwa na mwili.
 
Wewe nawe udini umekuzidi. Kajilipue kule palestine basi na waarabu wenzako

Mdini ni Nyerere aliYEipeleka Tanzania kwenye vita vya Uganda ili kumuokoa mkatoliki mwenzake OBOTE.

hatukuwa na sababu ya kujiingiza kwenye vita na UGANDA ILIKUWA BASED ON UDINI WA MWALIMU.NDIO MAANA WANAMPA UTAKATIFU WA KIKATOLIKI KAFANYA KAZI KUBWA.

INTERNATIONAL LAW INASEMA KAMA MTU KAKUVAMIA MTOE KWAKO HADI MPAKANI MWAKE.NYERERE ALIPELEKA JESHI HADI NDANI YA UGANDA KINYUME NA SHERIA.
MATOKEO YAKE TUKAAMBIWA TUJIFUNGE MIKANDA MIEZI 18 YA NJAA IKAWA HADI MZEE MWINYI AKAJA KUTUNUSURU NA NJAA.
 
Wadini ni wairaq na wairan waliopigana kwa miaka karibu kumi. Wadini ni wale mashia wanaoua masuni na vinginevyo kule Iraq leo hii. Wadini ni matelabani ambao wameua maelfu ya waislam wenzao kule Pakistani kwa sababu za kidini na ambazo hazieleweki kwa wadini wenzao.

Unaongea udini gani wewe?
 
wadini ni wairaq na wairan waliopigana kwa miaka karibu kumi. Wadini ni wale mashia wanaoua masuni na vinginevyo kule iraq leo hii. Wadini ni matelabani ambao wameua maelfu ya waislam wenzao kule pakistani kwa sababu za kidini na ambazo hazieleweki kwa wadini wenzao.

Unaongea udini gani wewe?

ireland wanauana kila siku kwa mabomu ira.

Hitler aliua watu milioni sita alikuwa anaishi iraq?

Rwanda watu milioni moja waliuliwa 1994 waliokimbilia kanisani waliouliwa na waliokimbilia misikiti walisalimika.

Kutokana na tukio hilo uislam umekuwa kwa asilimia 30 toka baada ya vita,hakuna mkristu au aisye na dini aliyekimbilia msikitini aliuliwa.

Mahakama ya kimbari iliwakamata mapadri walioshiriki kuua.
Bomu la hiroshima japan dini gani walipiga?
 
Utaenda lini Afghanistan kuwaunga mkono wenzako?
 
utaenda lini afghanistan kuwaunga mkono wenzako?

obama akilala akiamka anawaza huko afghanstan kwani kuna utajiri wa mafuta.

Jiulize kwanini obama anataka urafiki na nchi za kiislam? Jibu ili uchumi wa marekani ukue, mtikisiko wa uchumi duniani utanusurika kwa waarabu kuweka mapesa yao kwenye mabenki ya marekani.lehman brothers bank ya wakatoliki ndio ilikuwa ya kwanza kufilisika.marekani.

Bush aliwafukuza waarab sasa toka wameondoa pesa zao marekani uchumi unayumba akaenda kuwalamba miguu cairo.
 
Bado unaendeleza chuki zako za kidini. Lehman haijawahi kuwa na haitawahi kuwa benki ya wakatoliki. Jiandae kwenda jihad Afghanistani maana huko ni bora kwa vichwa kama vyako vyenye chuki ya kidini.
 
kanda1,
naona uwongo ni sera zako. Mimi nimesoma dsm wakati wa enzi za mwalimu na kwa taarifa yako kulikuwa na sekondari chungu nzima kuanzia aga khan, azania, jangwani, aga khan girls, st. Xavier, st. Joseph, pugu, shaaban robert. Etc. Sasa wewe ulitaka mjengewe ngapi? Kama hakujenga hata moja ni kwa sababu zilikuwepo za kutosha kulinganisha na miji mingine. Leta uwongo mwingine.

shule hizi alizikuta. Yeye hakujenga hata uzio wa shule.

Nakupa kali zaidi nyerere kakaa madarakani zaidi ya miaka 30 alijenga chuo kikuu kimoja tu.

Toka ameondoka kuna ongezeko la vyuo vikuu zaidi ya 34 ndani ya miaka 23 ya yeye kuwa nje ya madaraka.

Zanzibar haikuwahi kuwa na chuo kikuu,nyerere alikataa kabisa .toka ameondoka kuna vyuo vikuu karibu vinne.

Aliacha magazeti mawili tu hivi sasa tuna mamia ya magazeti.
Tv ilikuwa haramu,kumiliki dola/pounds haramu.

Akifufuka akute chuo kikuu kama cha dodoma chenye uwezo wa kuchukua wanafunzi elfu arobaini sijui itakuwaje?
 
Wakuu zangu,
Nitarudia tena ktk maombi yangu. Nataka kujifunza kwa yale watu hawa waliyafanya kwani majina tu ni ule msemo wa Simple minds yaani tunajadili WATU badala ya Events na Issues..
Nachoomba wakuu zangu ni kuzungumzia zaidi events na issue ambazo zinaambatanisha majina ya watu hawa.
Namshukuru sana mchangiaji mmoja (jina silikumbuki) alitupa majina na matukio (hasa zile harakati za kinamama ambazo dhahir inaonyesha wazi kuwa harakati za Uhuru zilianza toka miaka ya 40..
Nimeona majina mengi sana hapa lakini sijaona michango yao..na bila sjhaka hii inatokana na kwamba sisi sote ni kizazi kipya tumesimuliwa tu majina ya watu (wanachama) walioshiriki wakati wa Uhuru... na kibaya zaidi ni kwamba hatuna kumbukumbu zozote...

Mkuu GT na Julius, hao wazee wa Pwani nawajua wengi wao kwa majina yao lakini walifanya nini ndicho muhimu zaidi kwangu/kwetu kwani kuwa mwanachama wa jumuiya ya Wiislaam haiwezi kuwa sababu ya kuutafuta Uhuru... Walikuwemo ktk kundi kama vile mimi mwanachama wa Bacelona kuwa uwanjani siku Bacelona anachukua ushindi..Mtasema Mkandara alikuwepo lakini has nothing kabisa na Ushindi wa Bacelona..Kam nilicheza watu watauliza alicheza position gani?.. hapo ndipo mjadala hunoga.. na sii hizi habari za uanachama wa Jumuiya.

Pia kuwepo asilimia 50 ya WaBrazil au Spanish hakuwezi kuwa sababu ya ushindi mzima wa Bacelona..ni mchango wao na nguvu ya pamoja (wahusika kwa uwezo wao na sio imani zao ndiko kumeleta ushindi..sasa tukianza kusema Waislaam wako wangapi Bacelona na sijui wakristu kweli hii inaingia akilini jamani?..Wakuu zangu tuwe wapana kidogo ktk mtazamo wa mambo haya..

Jamani kama mnakumbuka majuzi tu Obama alikuwa Ghana na akatembezwa hadi ktk ktk lile jumba la watumwa...
Amini usiamini, jumba hilo leo hii ni kivutio kikubwa sana cha Watalii nchini Ghana. Toka Obama ameondoka ni zaidi ya watalii 100,000 wameitembelea Ghana na hasa sehemu hizo (wengi wao wakitokea Marekani)..ni record ya nchi hiyo...
Hivyo kuna vitu vya historia ambavyo sisi tumechukulia mzaha na uvivu wa kufikiri tumeviuza au kubomoa historia kwa sababu mswahili hapendi kukumbushiwa machungu.. hata Hospital kutembelea wagonjwa ni mwiko acha mbali makaburi..

Nitazidi kusisitiza tuondokane na Udini, haitusaidii kitu wala haiwezi kupindisha historia kwa sababu AbdulWahid Sykes alikuwa Muislaam, mbona hatusemi alikuwa Msouth (Mzulu)hivyo makabala yetu tulikuwa tumelala..
Navyofahamu mimi, Aboul Wahid na kundi lake wote walipigania Uhuru sii kwa sababu zinazotokana na dini yao ama imani ya dini ila Uzalendo kwa nchi yake..Na uthibitisho mkubwa ni kuwa mpinzani wake mkubwa alikuwa baba yake mwenyewe (khreist) ambaye alitaka chama kile cha kiislaam kibakie chama cha dini kisijiingize ktk maswala ya siasa..Abdul Wahid na Mwapachu wakampindua mzee wa watu na wafuasi wake wote tena wakiwa waislaam...Kikaundwa chama cha siasa.. hivyo matukio haya ni muhimu kuyaweka ktk record pia..kwani wapo waislaam waliopinga mtazamo wa AbdoulWahid kama walivyopinga Wakristu na wapo wakristu walioungana naye...

Wakuu zangu tusiwe kama Wakenya (simple minded people) kila siku hawa jamaa zangu mazungumzo yao ni Ujaluo na Ukikuyu.. hata huku majuu wamegawanyika kiasi hunda vyama vyao kutokana na kabila zao..Hata Harusi au msiba wa Jaluo, Mkikuyu hawezi kwenda na kinyume...imefikia kiasi kwamba hata ku date baina ya makabila haya mawili ni kufuru tena basi huku huku nje majuu...Na Obama ndiye kazidisha kabisa wigo la mgawanyiko wao..Ujinga wote huu unatokana na kwamba Jaluo akidai yeye kasoma na Mkikuyu akidai yeye ndiye kaleta Uhuru..So what?.. Haya tazama WaEthiopia na Eretrea..Wahutu na Watusi, wote yale yale na ndio maana tunaitwa NDIVYO TULIVYO! -huyu akidasi kasoma huyu kaleta Uhuru... Hovyooooo!

Wakuu zangu kumbukerni kwamba hata mapinduzi ya Marekani walipigana wao kwa wao.. Yankee against Loyalist. Sisi hata hatukufikia kumwaga damu baina yetu ingekuwa hivyo kweli leo hii tungekuwa tukizungumza hapa. Na ilikuwaje Marekani hiyo hiyo leo hii hatusikii majina ya watu waliokuwa wamechukua upande wa Muingereza kama ni wasaliti au kusikia states za juu North zikidai kwamba wao ndio waliouleta Uhuru na sio WaSouth..badala yake tunaambiwa majina ya watu na michango waliyoitoa ktk hata sinema zikatengenezwa kulingana na matendo yao na siii majina yao..

Nitasema tena kinachofanyika hapa JF ni simple minds.. jamani tunazungumza sana about OTHER PEOPLE badala ya EVENTS au ISSUES..na ndio maana kila siku nasema haramu ni kitemdo tulaani UFISADI hayo majina yatakuja tu lakini tunapojadili na kulaani sana WATU, huo Ufisadi huonekana kama sii adui yetu mkubwa bali baadhi ya watu fulani..
 
Last edited:
Bado unaendeleza chuki zako za kidini. Lehman haijawahi kuwa na haitawahi kuwa benki ya wakatoliki. Jiandae kwenda jihad Afghanistani maana huko ni bora kwa vichwa kama vyako vyenye chuki ya kidini.

60% YA SHARE ZA LEHMAN BROTHER NI ZA WAKATOLIKI UKO DUNIA GANI WEWE? BENKI ILIYODUMU KWA MIAKA ZAIDI YA 160.WAKATOLIKI WAKAOMBA BUSH AIPE PESA ZA SERIKALI (Bail out)AKAKATAA NA KUIPA taasisi ya AIG.
 
60% YA SHARE ZA LEHMAN BROTHER NI ZA WAKATOLIKI UKO DUNIA GANI WEWE? BENKI ILIYODUMU KWA MIAKA ZAIDI YA 160.WAKATOLIKI WAKAOMBA BUSH AIPE PESA ZA SERIKALI (Bail out)AKAKATAA NA KUIPA taasisi ya AIG.

Ebu soma post ya Mkandara tena tuondolee upupu wako wa dini tushachoka ebo!!.
 
Wakuu,
Kama sikosei kulikuwepo na vyama zaidi ya viwili uchaguzi wa kwanza..(Mtemvu na Fundikira) mbona hatuna historia ya vyama hivi kuasisiwa kwake na washiriki..
Pia nasikia Marreale alipigania Uhuru kwa jimbo lake wakati huo huo..
kuna mtu anajua zaidi kuhusiana na watu hawa.. au ndio zile za AbdulRahman Babu!.
 
Mkandara,
Tafuta kitabu cha Judith Listowell, The Making of Tanganyika. Kina historia ya kina juu ya harakati za uhuru.
 
Nia ya Mhe. Mkandara ni njema kabisa lakini ndugu yetu Junius naona umeenda nje ya mstari. Unamlaumu Baba wa Taifa eti alijali umaarufu wake tu wengine aaa! You are being very unfair to him! Did you expect him kusimama jukwaani na kutoa orodha ya wale alioshirikiana nao katika kupigania Uhuru? Ama ulitaka pamoja na makujumu mazito ya kuliongoza taifa basi aketi chini awaandikie historia. Kazi hiyo ni yenu wasomi na hata wale wasio wasomi kuandika historia ya nchi hii kwa kuwafuata wanasiasa na wananchi ambao bado wako hai wanaojua kilichotokea miaka hiyo. Hata hivyo Mwalimu did justice to his fellow wapiganaji kwa sababu amewahi mara kadhaa kuwataja watu kama akina Mzee Tambaza, Sykes, Rupia na wengine wengi tu katika hotuba zake wakati akisimulia juu ya harakati za kupigania Uhuru. And for your information baada ya kustaafu wapo Watanzania waliokuwa wakionana naye na na kupata simulizi na mengi yaliyotokea katika historia ya nchi hii. I assure you, he wasn't all that mean kama unavyotaka kutuaminisha Junius!

Kwa uzoefu wangu, naona wengi wanaomkandia Mwalimu na kumshutumu kwa namna moja ama nyingine ni wale ambao kama si wao basi 'ancestors' wao waliguswa na 'fimbo' ya Mwalimu katika mambo kadha wa kadha.

wewe hukuguswa na fimbo ya Nyerere kwenye elimu? amekaa miaka 30 madarakani chuo kikuu kimoja.alipoondoka kama miaka 23 tuna vyuo vikuu zaidi ya 34.

Alikataza TV na magazeti hivi sasa tunatanua.
bakora yake ilimpiga kila mtu kwani hata watoto wake hawakupata elimu ya chuo kikuu ukimuondoa yule wa IFM.Tanzania ikawa kisiwa cha wajinga.tukapitwa na majirani zetu Kenya na Uganda.
 
Back
Top Bottom