Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
MkamaP,
Mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda Somalia nyingine.
Jasusi:
Hivi makao makuu ya nchi wakati wa mkoloni yangekuwa Chamwino, si ina maana watu wa Chamwino wangeshiriki zaidi kuliko wengine?
Hapa wanaotajwa sana ni watu waliokuwepo DSM na sio pwani nzima. Pwani inaanzia Tanga mpaka Mtwara.