Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Zakumi umesema

Ukisema watu wa mijini waliinfluence mabadiliko, either by omission unamaanisha watu wa vijijini hawaku influence mabadiliko, which essentially amount to the same thing (ku influence mabadiliko in this particular case ni kuinfluence and eventually kuleta uhuru, no spin zone hapa, nani anapindisha sasa?) au unaleta half truth kama the entire truth, which does not do justice to half of the story.

Afrika idadi kubwa ya watu wanaishi vijijini, kwa hiyo usitake kuwa discount kama dagaa hawa.Umepewa mifano ya cooperative unions za huko Nyanza na Kilimanjaro na jinsi zilivyo influence formation ya TANU kwa kuwa grassroot bases nzuri tu, hazikuwa za mjini hizi, hizi zilikuwa cooperative unions za wakulima, unataka kubishana na historia?

Blue Ray:

Vita vya pili vya dunia na askari walitoka nje ya Africa walikuwa na impact kubwa kuliko hivyo vyama vya ushirika.

Vyama vya ushirika havikuwa base za TANU, TAA ilikuwa na matawi kila kona Tanzania kabla vyama vya ushirika kuanza.

Matawi ya Yanga yalifanya kazi kubwa sana kuliko hivyo vyama vya ushirika.
 
watu wengine muhimu kwenye historia ya nchi yetu ni mzee Abdallah Rashid Sembe ambaye wenyewe wanasema kuwa ndiye aliyekuwa shujaa wa azimio la Tabora la 1958

wenyeji wa Tanga nadhani mnafahamu huyu mzee na juhudi zake za kuundwa kwa TAA
 
Blue Ray:

Vita vya pili vya dunia na askari walitoka nje ya Africa walikuwa na impact kubwa kuliko hivyo vyama vya ushirika.

Vyama vya ushirika havikuwa base za TANU, TAA ilikuwa na matawi kila kona Tanzania kabla vyama vya ushirika kuanza.

Matawi ya Yanga yalifanya kazi kubwa sana kuliko hivyo vyama vya ushirika.

Mkuu hapo kwenye bold unavuta ukweli (kutosema ukweli) kiaina. Si kweli kuwa TAA ilifika kila kona ya Tanzania kabla ya yama vya ushirika kuanza. Hebu rejea historia yako vizuri au tafuta kikombe cha kahawa maana leo hii naona facts zinajichanganya kidogo huko zakumiville.
 
maneno yako mazima kabisa

Je unahabari kama klabu ya Simba ilitokana na Yanga?

Habari za Yanga kufanya kazi ya ushawishi inabidi umpate mzee mmoja yuko Yanga anaitwa KEPTENI MALIKI acha bwana jamaa unaambiwa utafikiri ana photogenic memory ...wanahistoria za michezo wa Tanzania wakitaka reference basi humfuata Kapteni Maliki

By the way unajua Gamal Abdel Nasser ndiye aliyemshauri Nyerere namna ya kuua vilabu kama Yanga kwa sababu ndio ilikuwa ni meeting point ya kujadili mambo mengi na michezo ndio ilikuwa sehemu kubwa ya watu wenye mitazamo mbali mbali

matokeo yake ikaundwa sheria kuwa huwezi kugombea uongozi wa klabu mpaka upitishwe na umoja wa CCM hii naongelea Post independence Tanzania

anyway, lets go back to 1950's
 
hii thread inahitaji tafiti jamani.....
 
Naona sasa wewe ndio unalinganisha embe na mapera. Unataka kuongelea hali ya sasa (ambako hata mimi naungana nawe kuwa watu wa mijini wana influence mambo vyema kuliko wa vijijini) na ile ya wakati wa ukoloni.

Si kweli kuwa watu wa ukanda wa pwani pekee ndio wa muhimu katika historia ya Tanzania. Katika hili bado hujaweka wazi kuhusika kwao kulivyo tofauti na wachaga au wahehe.

Ulitoa mfano wa Soweto mimi nikakupa mfano wa mau mau na ninakuongezea frelimo.

Mwafrika:

Tatizo lako unataka ku-argue kwa kitu usichojua. Viongozi Wengi waliokuwa kwenye vita vya maumau walikuwa ni Askari wa vita vya pili vya dunia. Na military tactics walizijua. Baada ya vita vya pili, wengi walikuwa discharged na kuishi maisha ya taabu Nairobi.

Kuhusu ukanda wa pwani wewe hayo unayaingiza. Miji yote mikubwa ya Tanzania ilishiriki. Mwanza, Tabora, DSM..................

Vijijini walifuata mkia tu.
 
Mkuu hapo kwenye bold unavuta ukweli (kutosema ukweli) kiaina. Si kweli kuwa TAA ilifika kila kona ya Tanzania kabla ya yama vya ushirika kuanza. Hebu rejea historia yako vizuri au tafuta kikombe cha kahawa maana leo hii naona facts zinajichanganya kidogo huko zakumiville.

Karibu katika kila wilaya aliyoacha mkoloni kulikuwa na tawi la Yanga na Simba. Kwa mfano wilaya ya Kilosa walikuwa na YETU na SIME. Ukienda Mwanza hipo Toto Africa. Na hii ndio sababu kubwa sana kwa Tanzania kuwa na mashabiki wa timu mbili: Yanga au Simba.

Hivyo vyama vya ushirika vilijaa ukabila kuliko matawi ya Yanga na Simba.
 
nashangaa wanataka kutulazimisha kwenda Tabora, Kigoma, Iringa, Moshi ,na Mwanza kabla hatujamaliza ya liyotokea Dar

hii ni thread na huko Bara tutaingia tuuu sijui whats the rush?
 
Itakuwa si vibaya tukahamia Tanga ambako kuna vigogo wengi tu wameachwa kwnye uandishi wa historia yetu
 
Mwafrika:

Tatizo lako unataka ku-argue kwa kitu usichojua.

Inafurahisha sana pale unapofikia hitimisho kuhusu uwezo wa kuelewa wa mwenzako kwa vile tu hakubaliani na kila unachosema.

Viongozi Wengi waliokuwa kwenye vita vya maumau walikuwa ni Askari wa vita vya pili vya dunia. Na military tactics walizijua. Baada ya vita vya pili, wengi walikuwa discharged na kuishi maisha ya taabu Nairobi.

Mau mau haikupiganwa zaidi Nairobi (na wanairobi) zaidi ya ilivyopiganwa kwenye mashamba ya wazungu huko vijijini - kasome tena historia yako.

Kuhusu ukanda wa pwani wewe hayo unayaingiza. Miji yote mikubwa ya Tanzania ilishiriki. Mwanza, Tabora, DSM..................

Vijijini walifuata mkia tu.

Ndio maana nilikuuliza swali la context yako ya mji ukaishia kuleta mambo ya simba na yanga (zote za ukanda wa pwani).
 
nashangaa wanataka kutulazimisha kwenda Tabora, Kigoma, Iringa, Moshi ,na Mwanza kabla hatujamaliza ya liyotokea Dar

hii ni thread na huko Bara tutaingia tuuu sijui whats the rush?

Unataka terms zako tu ndizo zitumike?

BTW bado nakusubiria kuliko ulikodai kuwa dini moja tu ndiyo ilikuwa karibu na wakoloni (labda ukijaribu kuonesha kuwa umesahau kuwa waarabu nao walikuwa wakoloni walioitawala Tanzania na kuiletea dini ya kikoloni ya kiislam).
 
nashangaa wanataka kutulazimisha kwenda Tabora, Kigoma, Iringa, Moshi ,na Mwanza kabla hatujamaliza ya liyotokea Dar

hii ni thread na huko Bara tutaingia tuuu sijui whats the rush?

Nani kasema Tanzania imeanzia pwani na kwenda bara? Kwa nini tuanze pwani kwenda bara? Kwa nini tusianze bara kwenda pwani au kudiscuss pote kwa pamoja? Unaleta subliminary message gani hapa? Kwamba huko bara kuna play second fiddle na si muhimu kama pwani?
 
Swali la muhimu sana hili
 
Bila kumsahau Mzee SAID CHAMWENYEWE, huyu jamaa alifanya kazi kubwa sana ya uhamasishaji tangu TAA mpaka TANU. Alikua anapiga baiskeli mpaka kilomita 200 kutoka Dar akisambaza kadi mpaka Rufiji na Kilwa enzi hizo njiani ni mapori yenye simba na wanyama wakali kibao. Na alisambaza kadi kwa nguvu pale TANU ilipotishiwa kutosajiliwa na wakoloni kwa kukosa wanachama wa kutosha.
 
maneno yako mazima kabisa

Je unahabari kama klabu ya Simba ilitokana na Yanga?

Habari za Yanga kufanya kazi ya ushawishi inabidi umpate mzee mmoja yuko Yanga anaitwa KEPTENI MALIKI acha bwana jamaa unaambiwa utafikiri ana photogenic memory ...wanahistoria za michezo wa Tanzania wakitaka reference basi humfuata Kapteni Maliki

By the way unajua Gamal Abdel Nasser ndiye aliyemshauri Nyerere namna ya kuua vilabu kama Yanga kwa sababu ndio ilikuwa ni meeting point ya kujadili mambo mengi na michezo ndio ilikuwa sehemu kubwa ya watu wenye mitazamo mbali mbali

matokeo yake ikaundwa sheria kuwa huwezi kugombea uongozi wa klabu mpaka upitishwe na umoja wa CCM hii naongelea Post independence Tanzania

anyway, lets go back to 1950's

Historia ya uhuru wa Tanzania haiwezi kusahau vilabu vya Yanga na Simba.

Umaarufu wa vilabu hivi katika social networking, ulitaka kutumiwa kuipindua serikali kwa wale wanaokumbuka mechi kati ya Simba na Yanga katika viwanja vya Nyamagana. Wakati huo Simba ikiwa na cocha kutoka Guinea na Yanga ikiwa na mZaire. Serikali iliwachuku kama ni CIA.

Tukirudi kwenye mada. Vitabu vingi ambavyo ni sources za watu wengi hapa vimeandikwa na watu ambao hawakufanya research zozote zile. Hivyo watu wanasoma na kufanya walichosoma kama facts.

Lakini tukifanya utafiti tutagundua mambo mengi katika taifa letu ambayo tumeyaweka nyuma.

kwa mfano bado tukiwa kwenye mada ya watu muhimu kwenye historia yetu. Ni lazima tuelewe Mirambo na Mkwawa nao walikuwa slave traders kama Tipu Tipu.
 
Bila kumsahau Mzee SAID CHAMWENYEWE, huyu jamaa alifanya kazi kubwa sana ya uhamasishaji tangu TAA mpaka TANU. Alikua anapiga baiskeli mpaka kilomita 200 kutoka Dar akisambaza kadi mpaka Rufiji na Kilwa enzi hizo njiani ni mapori yenye simba na wanyama wakali kibao. Na alisambaza kadi kwa nguvu pale TANU ilipotishiwa kutosajiliwa na wakoloni kwa kukosa wanachama wa kutosha.

Mhh naona majina yenye asili ya kiarabu ndiyo yanazidi kumwagwa hapa - kati ya mambo ambayo wakoloni wa kiarabu walifanikiwa kuyafanya Tanganyika. Nyani Ngabu yuko wapi akamilishe msemo wa miafrika (inayodhani watu wenye majina ya kiarabu ni bora kuliko wengine) ndiyo ilivyo.
 
..

kwa mfano bado tukiwa kwenye mada ya watu muhimu kwenye historia yetu. Ni lazima tuelewe Mirambo na Mkwawa nao walikuwa slave traders kama Tipu Tipu.

Ha ha ha ha nimecheka sana hapo kwenye red
 
Inafurahisha sana pale unapofikia hitimisho kuhusu uwezo wa kuelewa wa mwenzako kwa vile tu hakubaliani na kila unachosema.

Mau mau haikupiganwa zaidi Nairobi (na wanairobi) zaidi ya ilivyopiganwa kwenye mashamba ya wazungu huko vijijini - kasome tena historia yako.

Ndio maana nilikuuliza swali la context yako ya mji ukaishia kuleta mambo ya simba na yanga (zote za ukanda wa pwani).

Ndio maana unajiita Mwafrika. Maana unataka kulazimisha kila mwafrika awe sawa na wewe au uwe na sawa na mwafrika mwingine.
 
Back
Top Bottom