Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Zakumi umesema
Ukisema watu wa mijini waliinfluence mabadiliko, either by omission unamaanisha watu wa vijijini hawaku influence mabadiliko, which essentially amount to the same thing (ku influence mabadiliko in this particular case ni kuinfluence and eventually kuleta uhuru, no spin zone hapa, nani anapindisha sasa?) au unaleta half truth kama the entire truth, which does not do justice to half of the story.
Afrika idadi kubwa ya watu wanaishi vijijini, kwa hiyo usitake kuwa discount kama dagaa hawa.Umepewa mifano ya cooperative unions za huko Nyanza na Kilimanjaro na jinsi zilivyo influence formation ya TANU kwa kuwa grassroot bases nzuri tu, hazikuwa za mjini hizi, hizi zilikuwa cooperative unions za wakulima, unataka kubishana na historia?
Blue Ray:
Vita vya pili vya dunia na askari walitoka nje ya Africa walikuwa na impact kubwa kuliko hivyo vyama vya ushirika.
Vyama vya ushirika havikuwa base za TANU, TAA ilikuwa na matawi kila kona Tanzania kabla vyama vya ushirika kuanza.
Matawi ya Yanga yalifanya kazi kubwa sana kuliko hivyo vyama vya ushirika.