Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Ha ha ha ha nimecheka sana hapo kwenye red
Unacheka lakini hiyo ni historical fact ambayo watanzania wengi wamehamua kuiacha. Mirambo alikuwa ni typical slave trader.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha nimecheka sana hapo kwenye red
Unacheka lakini hiyo ni historical fact ambayo watanzania wengi wamehamua kuiacha. Mirambo alikuwa ni typical slave trader.
Mhh naona majina yenye asili ya kiarabu ndiyo yanazidi kumwagwa hapa - kati ya mambo ambayo wakoloni wa kiarabu walifanikiwa kuyafanya Tanganyika. Nyani Ngabu yuko wapi akamilishe msemo wa miafrika (inayodhani watu wenye majina ya kiarabu ni bora kuliko wengine) ndiyo ilivyo.
Na point yako ni ipi kama Mirambo alikuwa slave trader?
Sijaumia mimi. Aliyeumia ni wewe uliyeuliwa babu zako. Pole wewe!Mkuu Pole kwa maumivu.
Sijaumia mimi. Aliyeumia ni wewe uliyeuliwa babu zako. Pole wewe!
Kumbe kinachokukera ni majina,... To pretend that history never happened is just fooling oneself...facts will remain facts.
Yani mkishaanza kuingiza udini sijui upwani na ubara mnaboa sana kha!!!
Thread inasema WATU MUHIMU katika historia ya nchi yetu. Mirambo ni histotical figure katika nchi yetu. Kama watu wanaweza kubishana kuhusu Nyerere why not Mirambo?
Sio zaidi ya wale wanaotumia majina na dini ya wakoloni wa kiarabu (waliofanya biashara haramu kabisa dhidi ya waafrika) kujidhania kuwa wako bora kuliko wenzao
kweli JF shule...siku zote asojuwa maana haambiwi maana.Sijaumia mimi. Aliyeumia ni wewe uliyeuliwa babu zako. Pole wewe!
Sio zaidi ya wale wanaotumia majina na dini ya wakoloni wa kiarabu (waliofanya biashara haramu kabisa dhidi ya waafrika) kujidhania kuwa wako bora kuliko wenzao
Mwarabu hakufanya biashara haramu zaidi ya hile iliyofanywa na machifu wako. Kama wasingekuwepo wakina Mirambo, Mkwawa na wengine hakuna mwaafrika ambaye angechukuliwa utumwa.
Sasa kama kipindi ambacho kuna wanaume walijitoa muhanga kutembea na baiskeli maporini kusambaza neno na kadi za TANU, na wakati huohuo kuna wengine walikua wakifurahia vijizawadi vya masweater na mablanketi ya wool kutoka ulaya na kuwakumbatia wakoloni unataka isisemwe kwa kuogopa nini?
Maneno haya aliambiwa Nyerere usoni kwake kuwa kawageuka wanamapinduzi wenzake itakua wewe!
Hao hawana tofauti na wale wahehe waliojitoa mhanga kupigana na mjerumani wakati wengine wakipokea kanzu na kofia toka uarabuni huku wakikumbatia wakoloni wa kiarabu na majina yao.
Kumbe unakubali na wao ni mashujaa kama hao wahehe uliowataja. Basi majina yao yasikukere,... Bahati mbaya hayo majina huwezi kuyakimbia karne hii, hata uende wapi...labda unywe sumu. They are HERE TO STAY.
Unategemea mimi nitawakimbia ambao wanajali udini kuliko uafrika?! hata siku moja. Mimi ndiye niko hapa ku stay ili kuhakikisha kuwa watu wote (na sio wenye majina ya dini ya kikoloni ya kiarabu) wanapata heshima sawa kwenye hii topic.
Katika hilo inaonekana wewe ndiye utakunywa sumu kabla yangu. Watu wanaodhani kuwa waarabu ni bora kuliko waafrika wenzao hawanipi shida hata kidogo.
Hot Air...