Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Mhh naona majina yenye asili ya kiarabu ndiyo yanazidi kumwagwa hapa - kati ya mambo ambayo wakoloni wa kiarabu walifanikiwa kuyafanya Tanganyika. Nyani Ngabu yuko wapi akamilishe msemo wa miafrika (inayodhani watu wenye majina ya kiarabu ni bora kuliko wengine) ndiyo ilivyo.

Kumbe kinachokukera ni majina,... To pretend that history never happened is just fooling oneself...facts will remain facts.
 
Na point yako ni ipi kama Mirambo alikuwa slave trader?

Thread inasema WATU MUHIMU katika historia ya nchi yetu. Mirambo ni histotical figure katika nchi yetu. Kama watu wanaweza kubishana kuhusu Nyerere why not Mirambo?
 
Yani mkishaanza kuingiza udini sijui upwani na ubara mnaboa sana kha!!!
 
Kumbe kinachokukera ni majina,... To pretend that history never happened is just fooling oneself...facts will remain facts.

Sio zaidi ya wale wanaotumia majina na dini ya wakoloni wa kiarabu (waliofanya biashara haramu kabisa dhidi ya waafrika) kujidhania kuwa wako bora kuliko wenzao
 
Thread inasema WATU MUHIMU katika historia ya nchi yetu. Mirambo ni histotical figure katika nchi yetu. Kama watu wanaweza kubishana kuhusu Nyerere why not Mirambo?

Msisitizo uko kwenye yetu (mimi na wewe na mwingine atakayeingia kwenye hii set) au sio?

Kwa hiyo wote waliohusika (na sio wale wanachama asilia ya simba na yanga pekee) wanahusika.
 
Sio zaidi ya wale wanaotumia majina na dini ya wakoloni wa kiarabu (waliofanya biashara haramu kabisa dhidi ya waafrika) kujidhania kuwa wako bora kuliko wenzao

Mwarabu hakufanya biashara haramu zaidi ya hile iliyofanywa na machifu wako. Kama wasingekuwepo wakina Mirambo, Mkwawa na wengine hakuna mwaafrika ambaye angechukuliwa utumwa.
 
Sasa kama kipindi ambacho kuna wanaume walijitoa muhanga kutembea na baiskeli maporini kusambaza neno na kadi za TANU, na wakati huohuo kuna wengine walikua wakifurahia vijizawadi vya masweater na mablanketi ya wool kutoka ulaya na kuwakumbatia wakoloni unataka isisemwe kwa kuogopa nini?

Maneno haya aliambiwa Nyerere usoni kwake kuwa kawageuka wanamapinduzi wenzake itakua wewe!
 
Mwarabu alifanya biashara haramu ya utumwa. Unabisha hilo?
 
Sasa kama kipindi ambacho kuna wanaume walijitoa muhanga kutembea na baiskeli maporini kusambaza neno na kadi za TANU, na wakati huohuo kuna wengine walikua wakifurahia vijizawadi vya masweater na mablanketi ya wool kutoka ulaya na kuwakumbatia wakoloni unataka isisemwe kwa kuogopa nini?

Hao hawana tofauti na wale wahehe waliojitoa mhanga kupigana na mjerumani wakati wengine wakipokea kanzu na kofia toka uarabuni huku wakikumbatia wakoloni wa kiarabu na majina yao.

Maneno haya aliambiwa Nyerere usoni kwake kuwa kawageuka wanamapinduzi wenzake itakua wewe!

Na pointi yako hapa ni ipi?
 
Kinamama wa Dar es Salaam na kwingineko waliouza kanga zao kusaidia kuleta uhuru pia ni watu muhimu, lakini hitoria haiwezi kurekodi kila kitu au kila mtu.
 
Hao hawana tofauti na wale wahehe waliojitoa mhanga kupigana na mjerumani wakati wengine wakipokea kanzu na kofia toka uarabuni huku wakikumbatia wakoloni wa kiarabu na majina yao.

Kumbe unakubali na wao ni mashujaa kama hao wahehe uliowataja. Basi majina yao yasikukere,... Bahati mbaya hayo majina huwezi kuyakimbia karne hii, hata uende wapi...labda unywe sumu. They are HERE TO STAY.
 
Unategemea mimi nitawakimbia ambao wanajali udini kuliko uafrika?! hata siku moja. Mimi ndiye niko hapa ku stay ili kuhakikisha kuwa watu wote (na sio wenye majina ya dini ya kikoloni ya kiarabu) wanapata heshima sawa kwenye hii topic.

Katika hilo inaonekana wewe ndiye utakunywa sumu kabla yangu. Watu wanaodhani kuwa waarabu ni bora kuliko waafrika wenzao hawanipi shida hata kidogo.
 
Hot Air...
 
Back
Top Bottom