Watu nane wafariki dunia baada ya mabasi kugongana Jijini Mwanza Oktoba 22, 2024

Watu nane wafariki dunia baada ya mabasi kugongana Jijini Mwanza Oktoba 22, 2024

Nazan asante rabi alikuwa ameovertake akachelewa kurudi kwenye sehemu yake

Lakin huyu nyehunge nao itakuwa kaleta kiburi kagoma kumpa walau kanafas apite

Mi nimeshajifunza kitu usilete kiburi cha kiume uwapo barabaran,ukiona mwenzio yamemfika hata kama hayupo sahihi kama unaweza mpe nafas
uko sahihi
 
Hakika Taifa halitapona
Na nchi nayo haitapona kamwe
Watu watakufa watapotea,
MAGONJWA AJALI vitawaua wengi
Ikiwa Kanisa halitasimama katika zamu yake sawasawa.
.
2Nyak 7:14
Kanisa lisimame vipi sasa ?
Kufa ni lazima kwa kila kiumbe chenye uhai.
Kupotea ni suala la vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi kwa maelekezo ya Wanasiasa.
Magonjwa inategemea na aina ya ugonjwa.
Ajali yawezekana ni uzembe wa madereva kutokufuata sheria za barabarani na mambo mengine yanayotokea huko barabarani.
 
Watu watano ambao ni wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamefariki Dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuingia kwenye daraja.

Kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni (Pichani) amesema usiku wa kuamkia leo majira ya saa tisa usiku gari aina ya Costa iliyokuwa imebeba Wanakwaya wakitokea jijini Dar es salaam kuelekea Machame ilipofika eneo la Kirinjiko wilayani Same liliacha njia na kusababisha vifo hivo.

Mkuu huyo wa wilaya alisema kuwa, uchunguzi wa awali unabainisha kuwa Dereva wa gari hilo alisinzia na kupelekea gari hilo kuacha njia na kuingia kwenye daraja.

Alisema kuwa, kwa sasa majeruhi wanatibiwa katika hospitali ya wilaya ya Same. #EastAfricaRadio

1729586273086.jpg
 
#HABARI Watu watano ambao ni wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamefariki Dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuingia kwenye daraja.

Kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni (Pichani) amesema usiku wa kuamkia leo majira ya saa tisa usiku gari aina ya Costa iliyokuwa imebeba Wanakwaya wakitokea jijini Dar es salaam kuelekea Machame ilipofika eneo la Kirinjiko wilayani Same liliacha njia na kusababisha vifo hivo.

Mkuu huyo wa wilaya alisema kuwa, uchunguzi wa awali unabainisha kuwa Dereva wa gari hilo alisinzia na kupelekea gari hilo kuacha njia na kuingia kwenye daraja.

Alisema kuwa, kwa sasa majeruhi wanatibiwa katika hospitali ya wilaya ya Same. #EastAfricaRadio
ni KKKT usharika wa wapi?.maana ina sharika nyingi sana kwa hapa Dar
 
Kwa muda mrefu moja ya mabasi ninayoyaamini sana kwa usalama ni Nyehunge nahisi hii ajali imetokana na uzembe wa upande wa pili
Asante Rabi (Mwanza-Chuga) wako makini kuliko Nyehunge (Mwanza-Moro) nina uzoefu mkubwa wa yote mawili.
 
Hatuwezi kuwa tunaendelea kufa kijinga hivi halafu tunakunja mikono tunaona ni kawaida na ndio sehemu ya maisha yetu.

Tunapaswa kuanza kuwa serious katika hili sasa, ajali tumezifanya kitu cha kawaida sana.

Leseni za madereva wa mabus na safari ndefu za malori, inabidi sasa jicho kali liwekwe, kuwe na kitengo maalum cha utoaji hizi leseni.
Leseni za biashara za mabus na malori sasa kuwe na kitengo maalum chini ya uangalizi mkali ili kuwe na standard za mabus na malori yanayopaswa kuwepo barabarani.

TBS wafanya kazi sasa kudhibiti ubora wa spear na matairi yanayoingia nchini na si huu uholelaholela.

Garage za haya mabus ziwe na watalaam wenye vyetu na kuidhinishwa na mamlaka, kila modification inayofanyika kwenye bus lazima iwe communicated kwenye mamlaka na kuwe na approval.
 
Kwa muda mrefu moja ya mabasi ninayoyaamini sana kwa usalama ni Nyehunge nahisi hii ajali imetokana na uzembe wa upande wa pili
Amesema chanzo cha ajali hiyo ni basi la Asante Rabi lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine kabla ya kukutana na basi la Nyehunge na kusababisha ajali hiyo.
 
Asante Rabi ndio gari inayokimbia kuliko yote kutokea mwanza itakuwa ni AVA hiyo inaelekea Arusha
 
Hawa madereva wa mabasi ya bongo huwa wase.nge sana..... mamlaka zinakenua tu....
Ifike mahali mtu afanywe kitu kibaya ndio wataelewa...Fucken indeed
 
Back
Top Bottom