Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hiyo ameongeza baadaye sana ila kule mwanzo haikuwepoAmesema chanzo cha ajali hiyo ni basi la Asante Rabi lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine kabla ya kukutana na basi la Nyehunge na kusababisha ajali hiyo.