uko sahihiNazan asante rabi alikuwa ameovertake akachelewa kurudi kwenye sehemu yake
Lakin huyu nyehunge nao itakuwa kaleta kiburi kagoma kumpa walau kanafas apite
Mi nimeshajifunza kitu usilete kiburi cha kiume uwapo barabaran,ukiona mwenzio yamemfika hata kama hayupo sahihi kama unaweza mpe nafas
Kanisa lisimame vipi sasa ?Hakika Taifa halitapona
Na nchi nayo haitapona kamwe
Watu watakufa watapotea,
MAGONJWA AJALI vitawaua wengi
Ikiwa Kanisa halitasimama katika zamu yake sawasawa.
.
2Nyak 7:14
ni KKKT usharika wa wapi?.maana ina sharika nyingi sana kwa hapa Dar#HABARI Watu watano ambao ni wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamefariki Dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuingia kwenye daraja.
Kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni (Pichani) amesema usiku wa kuamkia leo majira ya saa tisa usiku gari aina ya Costa iliyokuwa imebeba Wanakwaya wakitokea jijini Dar es salaam kuelekea Machame ilipofika eneo la Kirinjiko wilayani Same liliacha njia na kusababisha vifo hivo.
Mkuu huyo wa wilaya alisema kuwa, uchunguzi wa awali unabainisha kuwa Dereva wa gari hilo alisinzia na kupelekea gari hilo kuacha njia na kuingia kwenye daraja.
Alisema kuwa, kwa sasa majeruhi wanatibiwa katika hospitali ya wilaya ya Same. #EastAfricaRadio
Asante Rabi (Mwanza-Chuga) wako makini kuliko Nyehunge (Mwanza-Moro) nina uzoefu mkubwa wa yote mawili.Kwa muda mrefu moja ya mabasi ninayoyaamini sana kwa usalama ni Nyehunge nahisi hii ajali imetokana na uzembe wa upande wa pili
Barabara ni changamoto kubwa sana, siku tukiwa na njia mbili kwenye highway zote ajali zitapungua kwa asilimia kubwa sana.Tatizo barabara nyembamba sana.
---------basi la Asante Rabi lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine kabla ya kukutana na basi la Nyehunge na kusababisha ajali hiyo.
Amesema chanzo cha ajali hiyo ni basi la Asante Rabi lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine kabla ya kukutana na basi la Nyehunge na kusababisha ajali hiyo.Kwa muda mrefu moja ya mabasi ninayoyaamini sana kwa usalama ni Nyehunge nahisi hii ajali imetokana na uzembe wa upande wa pili
Chuga ni wapi MkuuAsante Rabi (Mwanza-Chuga) wako makini kuliko Nyehunge (Mwanza-Moro) nina uzoefu mkubwa wa yote mawili.