Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 22, 2024 #41 LUTULWITU said: Amesema chanzo cha ajali hiyo ni basi la Asante Rabi lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine kabla ya kukutana na basi la Nyehunge na kusababisha ajali hiyo. Click to expand... Hiyo ameongeza baadaye sana ila kule mwanzo haikuwepo
LUTULWITU said: Amesema chanzo cha ajali hiyo ni basi la Asante Rabi lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine kabla ya kukutana na basi la Nyehunge na kusababisha ajali hiyo. Click to expand... Hiyo ameongeza baadaye sana ila kule mwanzo haikuwepo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 22, 2024 #42 R.I.P
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,135 Reaction score 3,392 Oct 22, 2024 #43 Faana said: Chuga ni wapi Mkuu Click to expand... Arusha
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Oct 22, 2024 #44 Asante Rabi tu itakuwa ndiyo imesababisha iyo ajari
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Oct 22, 2024 #45 Hawa wapumbavu wataua mpaka siku tutakaposema baaasi. Kuna rafiki yangu yuko TCA anasema akipewa LATRA hutasikia ajali za kipumbavu namna hii.
Hawa wapumbavu wataua mpaka siku tutakaposema baaasi. Kuna rafiki yangu yuko TCA anasema akipewa LATRA hutasikia ajali za kipumbavu namna hii.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 22, 2024 #46 RRONDO said: Hawa wapumbavu wataua mpaka siku tutakaposema baaasi. Kuna rafiki yangu yuko TCA anasema akipewa LATRA hutasikia ajali za kipumbavu namna hii. Click to expand... Latra ndiyo wenye mabasi kama ilivyo kwa ewura ndiyo wenye mafuta
RRONDO said: Hawa wapumbavu wataua mpaka siku tutakaposema baaasi. Kuna rafiki yangu yuko TCA anasema akipewa LATRA hutasikia ajali za kipumbavu namna hii. Click to expand... Latra ndiyo wenye mabasi kama ilivyo kwa ewura ndiyo wenye mafuta