Watu ninaotamani kuwaona na kuwafahamu japo kidogo tu

Watu ninaotamani kuwaona na kuwafahamu japo kidogo tu

Husika na kichwa cha habarini hapo juu.

Nikiwa memba wa JF tangu 2012 lakini kwasababu zisizoelezeka nikapoteza nywila ya kitambulisho changu cha awali,ikabidi tena nijisajili mwaka 2015, sasa basi kuna wanajamii ya humu natamani sana kuwaona wakizungumza tu ili nifurahi.

GENTAMYCINE.
Galadudu,
Kaboom,
Uncle Ben,
Nyani Ngabu,
misschaga,
Nifah,
Preta,
lara 1 my fav ,
Copenhagen,
mshana jr

Watajwa hapo juu ni baadhi tu, huwa wana majibu yaliyotukuka, hunisaidia sana katika swala la kuhimili hasira (anger management).Hata nikinuna Dar mpaka Lusaka,huwa nafurahishwa na comments za humu ndani.

Naomba kuwasilisha.

[emoji8] [emoji120]
Nyara ya taifa lemutuz huend kukutana nayo?
 
Evelyn salt,nifah na faiza fox nawakubali sana kwa post/comments zao.
 
Bila kuwasahau mshana jr na kiongozi wa makapuku. ... Bitoz
Makapuku oyeeeeee
Karibu Uswaz Mabibo Beach utatukuta na Th Name + Jimena gunapunga upepo
92a1e36cd099d74200b554beaf428d4f.jpg
 
He....[emoji15]
Kumbe watu wana tamani kufahamiana humu.....
Ebu ngoja kwanza aiseeee....
 
Back
Top Bottom