Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahaahahahaaa long live popomaNitalifikiria Ombi Lako Mkuu Kwani Hata Huku Nilipo Tu WANYARWANDA Hawataki Kusikia Naenda Kokote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahahaaa long live popomaNitalifikiria Ombi Lako Mkuu Kwani Hata Huku Nilipo Tu WANYARWANDA Hawataki Kusikia Naenda Kokote.
Nyara ya taifa lemutuz huend kukutana nayo?Husika na kichwa cha habarini hapo juu.
Nikiwa memba wa JF tangu 2012 lakini kwasababu zisizoelezeka nikapoteza nywila ya kitambulisho changu cha awali,ikabidi tena nijisajili mwaka 2015, sasa basi kuna wanajamii ya humu natamani sana kuwaona wakizungumza tu ili nifurahi.
GENTAMYCINE.
Galadudu,
Kaboom,
Uncle Ben,
Nyani Ngabu,
misschaga,
Nifah,
Preta,
lara 1 my fav ,
Copenhagen,
mshana jr
Watajwa hapo juu ni baadhi tu, huwa wana majibu yaliyotukuka, hunisaidia sana katika swala la kuhimili hasira (anger management).Hata nikinuna Dar mpaka Lusaka,huwa nafurahishwa na comments za humu ndani.
Naomba kuwasilisha.
[emoji8] [emoji120]
Hahaahahahaaa long live popoma
Mimi na wewe long time sana mzazi,pamoja.Evelyn salt,nifah na faiza fox nawakubali sana kwa post/comments zao.
Beach mavi....!
Lakini si umelipenda....Beach mavi....!