So sad namfaham vzr Benard Masaka niliiwahi kufanya nae kazi mahala fulani hapo Morogoro, alijitafuta akakaa sawa leo hii amepotezwa kizembe na watu kwa tamaa ya biashara. Binadamu tumekuwa wanyama halisi. RIP Masaka!!Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama mkoani humo Juni 1, 2025
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Alex Mkama amesema mnamo Juni 1, 2025 Masaka alitekwa na Stanley Ngāambi maarufu Jaja (31) mfanyabiashara mkazi wa Mkundi aliyekuwa akiendesha gari aina ya Toyota Premio
Ngāambi, akiwa na watu wengine walimlaghai masaka enzi za uhai wake kuwa wanakwenda eneo la Makunganya kwa lengo la kununua Ngāombe wa biashara, baada ya kuingia ndani ya gari ndipo walimuua kwa kutumia vitu vyenye makali kisha kuubeba mwili wake na kwenda kuutupa huko eneo la majengo, Kijiji cha Manga, Kata ya Mkata Wilaya ya Handeni mkoani Tanga
Mkama amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa biashara, baada ya kukamatwa watuhumiwa hao waliwaongoza Polisi hadi mahali walipotupa mwili wa marehemu, pia wamefanikisha kupatikana kwa gari hiyo Toyota Premio lililotumika katika uhalifu huo na pikipiki ya marehemu aina ya Boxer
Kamanda Mkama amewataja watuhumiwa hao ni Stanley Ngāambi maarufu Jaja (31), Bahati John (44), Japhet Michael (29), Yusuph Mkamba (27), Nickson Ibrahim (43), Robson Rite (47) na Ernest Msiet (37)
ripSo sad namfaham vzr Benard Masaka nikiwahinkufanya nae kazi mahala fulani hapo Morogoro, alijitafuta akakaa sawa leo hii amepotezwa kizembe na watu kwa tamaa ya biashara.
We jamaa ungepewa kazi ya hakimu mahakamani wangekoma! Aisee ukijumuisha umri wao wote halafu ikawa ndio hukumu Yao ya kukaa jela ingekuwa fundisho la mwakaMiaka yao yooote ijumlishwe halafu ndio iwe idadi ya miaka watakayokaa jela.
Vp naye kwenye biashara alikuwa kanyooka au!So sad namfaham vzr Benard Masaka niliiwahi kufanya nae kazi mahala fulani hapo Morogoro, alijitafuta akakaa sawa leo hii amepotezwa kizembe na watu kwa tamaa ya biashara. Binadamu tumekuwa wanyama halisi. RIP Masaka!!
Nifahamishe vizuri, maana nami nimewahi kufanya biashara ya nyama Moro miaka ya nyuma.So sad namfaham vzr Benard Masaka niliiwahi kufanya nae kazi mahala fulani hapo Morogoro, alijitafuta akakaa sawa leo hii amepotezwa kizembe na watu kwa tamaa ya biashara. Binadamu tumekuwa wanyama halisi. RIP Masaka!!
Kifo hakikosi sababuYani wivu wa kibiashara unauwawa hivi hivi kisa unapiga pesa kwenye biashara tutakimbilia wapi kwa Sasa yani ata biashara yako mwenyewe unauwawaš¢
Huyu jamaa alikuwa ni mlinzi kwenye media moja pale Morogoro, baadae aliachishwa kazi, akaanza kujitafuta kwa kuanza biashara ya bucha moja ya nyama pale maeneo ya sabasaba. Baadae akakaa sawa na kuwa na mabucha mengi, kifupi alijipata kiasi chake na hakuwa na tamaa na maisha ya kuonekana.Nifahamishe vizuri, maana nami nimewahi kufanya biashara ya nyama Moro miaka ya nyuma.
Hata kama amepinda ndo umuue?Vp naye kwenye biashara alikuwa kanyooka au!
Any way poleni
Ova
Siku zote tunapinga haya mambo ya kuchukuliana,kupotezana uhaiHata kama amepinda ndo umuue?
Why?
Too little!Ingekuwa kunyongwa kabisaš„We jamaa ungepewa kazi ya hakimu mahakamani wangekoma! Aisee ukijumuisha umri wao wote halafu ikawa ndio hukumu Yao ya kukaa jela ingekuwa fundisho la mwaka
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama mkoani humo Juni 1, 2025
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Alex Mkama amesema mnamo Juni 1, 2025 Masaka alitekwa na Stanley Ngāambi maarufu Jaja (31) mfanyabiashara mkazi wa Mkundi aliyekuwa akiendesha gari aina ya Toyota Premio
Ngāambi, akiwa na watu wengine walimlaghai masaka enzi za uhai wake kuwa wanakwenda eneo la Makunganya kwa lengo la kununua Ngāombe wa biashara, baada ya kuingia ndani ya gari ndipo walimuua kwa kutumia vitu vyenye makali kisha kuubeba mwili wake na kwenda kuutupa huko eneo la majengo, Kijiji cha Manga, Kata ya Mkata Wilaya ya Handeni mkoani Tanga
Mkama amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa biashara, baada ya kukamatwa watuhumiwa hao waliwaongoza Polisi hadi mahali walipotupa mwili wa marehemu, pia wamefanikisha kupatikana kwa gari hiyo Toyota Premio lililotumika katika uhalifu huo na pikipiki ya marehemu aina ya Boxer
Kamanda Mkama amewataja watuhumiwa hao ni Stanley Ngāambi maarufu Jaja (31), Bahati John (44), Japhet Michael (29), Yusuph Mkamba (27), Nickson Ibrahim (43), Robson Rite (47) na Ernest Msiet (37)
Chanzo: Mwananchi_official
Ndo hapo sasa...Wmempigia simu, then wakamuua, akili za hovyo sana hizi,