Hii hali ya insecurity Kenya, kwa jamii kupigana na kuuana imeshazoeleka Kenya, wanaona ni jambo la kawaida wala sio issue Kenya kwa sasa, inaonekana serikali imeshindwa kabisa kuzuia haya mauaji ya koo na kikabila, kama ilivyoshindwa kushughulikia, rushwa na ukabila, sasa hivi insecurity inaingia kuwa identity ya Kenya, kwa hiyo ikitajwa Kenya meas; 1)Marathon champions, 2)Tribalism, 3)Corruption, 4)Insecurity