real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Watu saba wameuawa kwenye vita ya kikabila huko Transmara , mapigano hayo yalianza baada ya mfanyabiashara kuuwawa na watu wasiojulikana na kupelekea vita ya kulipiza kisasi.
Naibu kamishna wa Kaunti Mohamed Noor alithibitisha kisa hicho kilifanyika Jumamosi majira ya saa 3 usiku
hadi sasa hivi hakuna aliyekamatwa kutokana na mauaji hayo lakini polisi wameimarisha ulinzi eneo hilo.
Chanzo: Citizen Tv