Watu saba wauawa kwenye vita vya kikabila Transmara

Watu saba wauawa kwenye vita vya kikabila Transmara

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Watu saba wameuawa kwenye vita ya kikabila huko Transmara , mapigano hayo yalianza baada ya mfanyabiashara kuuwawa na watu wasiojulikana na kupelekea vita ya kulipiza kisasi.

Naibu kamishna wa Kaunti Mohamed Noor alithibitisha kisa hicho kilifanyika Jumamosi majira ya saa 3 usiku

hadi sasa hivi hakuna aliyekamatwa kutokana na mauaji hayo lakini polisi wameimarisha ulinzi eneo hilo.



Chanzo: Citizen Tv
 
Alaf utasikia wanasema wanapigania kutetea haki, na sio kama WTZ,hakuna chaos inayotokea kenya kwa kupigania haki,ni ukabila tu.
 
Hii hali ya insecurity Kenya, kwa jamii kupigana na kuuana imeshazoeleka Kenya, wanaona ni jambo la kawaida wala sio issue Kenya kwa sasa, inaonekana serikali imeshindwa kabisa kuzuia haya mauaji ya koo na kikabila, kama ilivyoshindwa kushughulikia, rushwa na ukabila, sasa hivi insecurity inaingia kuwa identity ya Kenya, kwa hiyo ikitajwa Kenya meas; 1)Marathon champions, 2)Tribalism, 3)Corruption, 4)Insecurity
 
Back
Top Bottom