Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
😁😁😁😁Mh. Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa.
Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele za wajinga.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake.
Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi.
Wamekutupia makombo nawe unajiona ni mmoja wao.Mh. Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa.
Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele za wajinga.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake.
Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi.
Asikose kutuambia na aliyempiga risasi LissuHata ungekuwa wewe mla makombo unawezaje kujibu Mawe yale yaliyojaa ukweli? Kwanza tungemshangaa sana!
Na kwa kweli kuanzia hapa hatutarajii akionekana kwenye Majukwaa, Ni Aibu sana!
Hilo linawezekana tu lakini si muhimu kwa sasaAsikose kutuambia na aliyempiga risasi Lissu
Kwanini mkuu ?Hilo linawezekana tu lakini si muhimu kwa sasa
Mtu smart daima hawezi kuwageuka rafiki zake walio mpigania yeye kuwa juu. Baada ya yeye kufika juu aliwageuka mfano alivyo mtendea Lowasa, na za chini ya capeti zinasema amehusika kumtanguliza membe ili kumsafishia njia Mwanae. angalia pia alivyo wageuka wakina makamba. Mtu Smart ambaye umefika hadi level za urais hawezi kumruhusu mke wake kuhangaika na ubunge wa kutoana macho huku wakiwa na mabiashara kibao.Dalili kubwa kuwa mtu hana akili timamu ni kumiliki vitu vichache au vitu visivyo na thamani,
Mh. Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa.
Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele za wajinga.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake.
Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi.
Maskini kwakuwa ni mpumbavu hivyo huamini kila jambo .
Ujumbe wako ni upi hasa,upo moyoni mwake,vipi kama amesha jibu hadi usingizi unapea kila siku halafu haujui wala kufahamu?Mh. Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa.
Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake.
Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi.
Maskini huamini kila jambo .
Kwanza tusafishe hawa wauajiKwanini mkuu ?
Kwahiyo waliompiga risasi Lissu sio wauaji?Kwanza tusafishe hawa wauaji
JK akijibu mapigo kwa kujibu hoja tena kwa mifano yenye fact naye tutamaikiliza. Hata hivyo tunajua kuwa hawezi sababu ya facts alizotoa Polepole. By the way, Polepole amefanikiwa kutuaminisha zaidi kuhusu uhusika wa JK kwenye CCM mtandao na plots against Jiwe. Akijaribu kumjibu Polepole atajibiwa na watu wengi sana ambao wanajua mengi kumhusu.Mh. Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa.
Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake.
Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi.
Maskini huamini kila jambo .
Alimchonga mwenyewe Sasa Hana Uhuru alikuwa nao. Huwezi kuumiza mamilioni ya Watanzania wale halafu uwe na amani!!! Labda uje ushahidi tofauti na huu uliopo kwa Sasa.(Nawaza)....akionekana...