Watu smart na wenye pesa hawapo kama mnavyodhani. Kikwete hatawajibu

Watu smart na wenye pesa hawapo kama mnavyodhani. Kikwete hatawajibu

Mbona hajatueleza alie mpiga Lisu lisasi ni nani?
Atuelezee na Inshu ya Ben sanane
Wewe tulia mbona unaleta mbo mengine kwenye jambo jadiliwa. Hoja hapa ni kifo cha Magufuli na wanamtandao wakiongozwa na jk.
 
Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.

Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.View attachment 3458580
Na mjinga kama wewe huamini kwamba kila kitu lazima kijibiwe. Sisi hatuhitaji kujibiwa na hao mbwa. Tulichohitaji ni ukweli tu Kisha nature ifanye kazi. Wewe ni lipumbavu la wapi?
 
Sasa Jamaa wataishi kwa Stress kweli kweli 😳 !
Duh 🙄 ! Kweli hii Dunia rangilangire !

Law of the Universe ! Karma is for real 😳
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Back
Top Bottom