ππππHata ungekuwa wewe mla makombo unawezaje kujibu Mawe yale yaliyojaa ukweli? Kwanza tungemshangaa sana!
Na kwa kweli kuanzia hapa hatutarajii akionekana kwenye Majukwaa, Ni Aibu sana!
Tobaaaa!!Wote mbona wameishamjibu Polepole ila sasa hivi hata hilo jina hawataki kulisikia maana ni kama Polepole anawawekea gunzi la mshindi kavu kwenye njia ya taka ngumu!
Ukwelii huu hapa.Mtu smart daima hawezi kuwageuka rafiki zake walio mpigania yeye kuwa juu. Baada ya yeye kufika juu aliwageuka mfano alivyo mtendea Lowasa, na za chini ya capeti zinasema amehusika kumtanguliza membe ili kumsafishia njia Mwanae. angalia pia alivyo wageuka wakina makamba. Mtu Smart ambaye umefika hadi level za urais hawezi kumruhusu mke wake kuhangaika na ubunge wa kutoana macho huku wakiwa na mabiashara kibao.
Halafu Lissu ni mzima kwa uwezo Mungu, tunashukuru kwa hiloKwanza tusafishe hawa wauaji
Case closedKwa mujibu wa Polepole MAGUFULI ALIUWAWA. Waliomuua ni wanamtandao
Unataka kutuambia kitu gani?
ExactlyCase closed
πππDaahWote mbona wameishamjibu Polepole ila sasa hivi hata hilo jina hawataki kulisikia maana ni kama Polepole anawawekea gunzi la mshindi kavu kwenye njia ya taka ngumu!
Sawa uharo wako umesikika ,ewe toto ya kahaba kikongwe toka zanzibarKikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.View attachment 3458580
Mimi kama Mtanganyika nasema usitumie maandiko kuufurahisha moyoKikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.View attachment 3458580
Watajibu mahakamani siku ikifika.Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.View attachment 3458580
Juzi alikuwa anajichekesha chekesha pale kawe. Mara oh pesa za UVICO kumbe alimuua mtu bhana dahHata ungekuwa wewe mla makombo unawezaje kujibu Mawe yale yaliyojaa ukweli? Kwanza tungemshangaa sana!
Na kwa kweli kuanzia hapa hatutarajii akionekana kwenye Majukwaa, Ni Aibu sana!
Watz sote ni wezi ukiona MTU analalamika ujue hajapata nafasi ya kuibaMbona washajibu
Rostam mbele ya chanel ten
Kikwete Tanganyika Packers
Watz sote ni wezi ukiona MTU analalamika ujue hajapata nafasi ya kuiba
IPO waziNdivyo waonavyo wezi
Pumba tupu.Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.View attachment 3458580
Ujinga mtupu juzi kamjibu Polepole na Mange kuhusu alivyosimamia uteuzi wa SamiaKikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele.
Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya umaskini alikuwa nayo Magufuli pia, yeye kila mwenye pesa alihisi ni mwizi. Maskini huamini kila jambo.View attachment 3458580
Mbona hajatueleza alie mpiga Lisu lisasi ni nani?Kwa mujibu wa Polepole MAGUFULI ALIUWAWA. Waliomuua ni wanamtandao wakiongozwa na JAKAYA MRISHO KIKWETE
Unataka kutuambia kitu gani?