Watu smart na wenye pesa hawapo kama mnavyodhani. Kikwete hatawajibu

Mbona hajatueleza alie mpiga Lisu lisasi ni nani?
Atuelezee na Inshu ya Ben sanane
Wewe tulia mbona unaleta mbo mengine kwenye jambo jadiliwa. Hoja hapa ni kifo cha Magufuli na wanamtandao wakiongozwa na jk.
 
Na mjinga kama wewe huamini kwamba kila kitu lazima kijibiwe. Sisi hatuhitaji kujibiwa na hao mbwa. Tulichohitaji ni ukweli tu Kisha nature ifanye kazi. Wewe ni lipumbavu la wapi?
 
Sasa Jamaa wataishi kwa Stress kweli kweli 😳 !
Duh πŸ™„ ! Kweli hii Dunia rangilangire !

Law of the Universe ! Karma is for real 😳
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…