2/
Maria De Nazare
Huyu binti amezaliwa miaka 24 iliyopita na bado anadunda tu
Alizaliwa na
vichwa viwili vinavyofanya kazi vizuri kabisa yaani kama aina fulani ile ya mnyama mwenye vichwa viwili sijui mnawita dragon
Wazazi wakaamua kumpa jina linalofanana na manaye Yesu
Maria wa Nazareth ila usilitaje bure jina la Bikira Maria hivyo huyu anaitwa tu Maria De Nazare badala ya Nazareth
Huyu ni binti wa Kibrazil kiuhalisia ni mapacha walioungana yaani chini ni mtu mmoja ila juu ndo vichwa viwili au tuseme tu mtu mwenye vichwa viwili
Tofauti kabisa na wale akina Maria na Consolata huyu ni mtu mmoja kuanzia chini shingoni hadi miguuni ila ana vichwa viwili ndio maana anahesabika ni mtu mmoja tu