hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaaAna vichwa viwili sasa chumbani si kutajaa kelele tu maana demu mwenye kichwa imoja tu anasumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaAna vichwa viwili sasa chumbani si kutajaa kelele tu maana demu mwenye kichwa imoja tu anasumbua
aiseee hahaaaHapa umebifikirisha maana yule bwana mdogo George Lipert kapewa miguu mitatu kana stuli wakati sisi mamilioni tuna miguu miwili
Nikiwa mdogo bado sijapevuka nilipelekwa kanisani na kubatizwaUmesiamama pazuri sana.
Profesa Yuval Noah Harari ameelezea vizuri sana katika vitabu vyake "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow" kuhusu dhana nzima ya kuamini kuwepo Mungu kuwa ni jitihada za watu kuziba pengo la ujuzi, kwamba pale ambapo hatujui jibu, watu tuko tayari sana kuziba pengohilo kwa kusema habari za Mungu, halafu tukija kujua, tunamsukuma huyo Mungu kwenye jambo lingine ambalo hatulijui.
Kifupi ni kwamba, watu tunakuwa wagumu sana kusema "sijui jibu, ngoja nitafute jibu".
Kwa hiyo, nikisikia mtu anasema hajui, nafurahi sana.
Kwa maana, ukisema hujui na kutafuta jibu lakweli kwa juhudi, utalipata.
Lakini ukiw ahujui na kusema unajua jibu, jibu ni "kazi ya Mungu", hutakaa upate jibu la kweli.
Unaona sasa?Nikiwa mdogo bado sijapevuka nilipelekwa kanisani na kubatizwa
Nikiwa shule ya msingi na akili za itoto nikaandikishwa Komunyo ya kwanza
Sasa kwavile napenda kudadisi mambo kuna siku Katekista akatufundisha kuhusu "tunda la mti wa katikati" alipomaliza nokanyoosha mkono na kumuuliza Huyo nyoka amewezaje kuongea lugha ya kuelewana na mwanadamu kiasi cha kumshawishi Hawa ? Alisjindwa kunipa jibu na kusema la kueleweka na kujiumsuma tu kwamba ni suals la smsni na tangu hapo akaanza kunichukia na kanwe hakunipa nafasi ya kumuuliza maswali tena siku zilizofuata
Kitendo hicho kilinifanya nisisome Komunio ya pili/ Kipaimara hadi leo nikiwa tayari mtu mzima maana niliona naoelekeshwaprlekeshwa kama punda
Sawa, ila tunaanzaje kumhusisha mungu na vitu hvyo.. Maana mtoa mada kagusia sijui uumbaji kwa mungu ila hamkosoi.. Je huyu anayeitwa mungu anaweza kuwa chanzo cha yote hayo ikiwa kitaalam imeelezewa hvyo?Soma post /#11 na 26 hadi mwisho
Utaelewa kuhusu ntu kuzaliwa na viungo viwili vya uzazi pia mtoto kuzaliwa na extra DNA
Ukisoma pos yangu hapo juu nimeweka wazi kwamba SIJUI kama Mungu yupo au hayupoSawa, ila tunaanzaje kumhusisha mungu na vitu hvyo.. Maana mtoa mada kagusia sijui uumbaji kwa mungu ila hamkosoi.. Je huyu anayeitwa mungu anaweza kuwa chanzo cha yote hayo ikiwa kitaalam imeelezewa hvyo?
Safi, mungu hayupo ndiyo maana watu kama hao wanazaliwa hvyo.Ukisoma pos yangu hapo juu nimeweka wazi kwamba SIJUI kama Mungu yupo au hayupo
Kuhusu nada mfano mtu kuzaliwa na miguu mitatu zipo sababu za kisayansi ambazo zinajitosheleza
Hivyo mtu akimuhusisha Mungu na suala jilo ni imani yake binafsi tu
Haupaswi kusema ni mipango ya mungu kwa kuwa havitupendezeshi sanaView attachment 820014Wapo pia watu wanaozaliwa na vidole sita mkuu yaani suala hili la kwamba ni mpango wa Mungu samtaimu linafikirisha sana
Kwa sifa wampazo mungu hatupaswi kusema ni ktk kuumba huku.. Wala shetani hausiki bhali ni matokeo tu. Ukiniambia hvyo kwa nn wanazaliwa hvyo nakwambia ni matokeo tu, kama mungu angekuwepo kusingewezekana kuzaliwa watu wenye viungo zaidi au pungufu kwa sifa alizo nazo.. Shetani hayupo..Kwahiyo mamnbo yasiyotupendezesha yote tuseme ni kazi ya shetani ?
,[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hujamwona kweli ?
Huyo hapo juu ana miguu mitatu kama bajaji na mioyo miwili kama tank za Scania
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Upo sahihi sana mkuuKwa sifa wampazo mungu hatupaswi kusema ni ktk kuumba huku.. Wala shetani hausiki bhali ni matokeo tu. Ukiniambia hvyo kwa nn wanazaliwa hvyo nakwambia ni matokeo tu, kama mungu angekuwepo kusingewezekana kuzaliwa watu wenye viungo zaidi au pungufu kwa sifa alizo nazo.. Shetani hayupo..