Siyo miminnataka liweje.
Nakuuliza wewe, kwa nini swali liwe "nani"?
Ukikuta jani lililokauka ipo mlangoni kwako. Mbele kuna uwanja mkubwa. Kwa nini uulize swali la "nani kaweka jani hili hapa?" Wakati swali sahihi linaweza kuwa "Nini kimeweka jani hili hapa?".
Kwa sababu, kama jani limepeperushwa na upepo, swali la "nani kaweka jani hili hapa?" linakuwa si sahihi.
Kwa maana hakuna nani (mtu, mnyama etc) aliyeweka jani hilo pale.
Jani limewekwa na upepo.
Na hata kama jani limewekwa na mtu, swali la nini lina apply bado.
Sasa kwa nini unauliza swali finyu la nani wakati jibublinaweza kutoka kwenye swali la nini?