Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu huwa hakosei kuumba ?
Mimi sijui na lengo langu siyo kumkosoa Mungu wala kumuhoji bali kuzungumzia kuhusu binadamu waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia
Kawaida mtu ana meno 32,miguu miwili,pua moja,mikono miwili,moyo mmoja n.k ila hawa watu viungo vyao vimepitiliza idadi
9/Hazel Jones
![]()
![]()
Demu Huyu alizaliwa na uke pea mbili
Huyu alisumbuliwa na ugonjwa wa kushangaza wakati anakaribia kuvunja ungo na akajikuta anapata hedhi mfululizo kama mvua za masika zinazosumbua wakazi wa mabondeni
Anatokea huko High Wycombe nchini Uingereza
Tatizo lake linajulikana kama Uterus Didelphys yaani pia ana vyumba viwili vya uzazi
Alipoambiwa na daktati kwamba ana uke na vyumba vya uzazi pea mbili akamjibu anajisikia fahari japo atahitaji mtu antoe bikra kote kote (sizungumzii tundu la nyuma......mi simo nasema simo !!QUOTE]
Huyu ukioa unatoa mahari mara mbili mana raha double double
Aiseee!View attachment 823317
Huyu demu alizaliwa na miguu minne
Inastaajabisha sana.Anavaa viatiu pea mbili kwa mpigo
kuna mwingine msichana yupo kama hivo...6/Deepak Pastwan
![]()
![]()
Huyu ni dogo kutoka familia maskini huko nchini India
Alizaliwa mwaka 2010 akiwa na miguu ya ziada "iliyoota" kifuani
Dogo alizaliwa akiwa na miguu 8 yaani dogo kifuani ana miguu kama matawi ya miti
Wazazi wake hawakuifurahia hali hiyo hivyo kuomba iondolewe maaba mtoto wao alikuwa anadhihakiwa kitaani kuitwa mti unaotembea ila hawakuwa na pesa hivyo hospitali ikawaonea huruma kutokana na umaskini uliowakithiri hivyo kumfanyia upasuaji bure na ukafanikiwa kuiondoa na sasa hivi ana hali ya kawaida tu
wameumbwa na nani?Hao hawajaumbwa na Mungu, kama wameumbwa na Mungu basi sisi wengine katupunja.
Sasa Mungu gani anapunja wengine na kupendelea wengine?
matokeo ya nini?Kwa sifa wampazo mungu hatupaswi kusema ni ktk kuumba huku.. Wala shetani hausiki bhali ni matokeo tu. Ukiniambia hvyo kwa nn wanazaliwa hvyo nakwambia ni matokeo tu, kama mungu angekuwepo kusingewezekana kuzaliwa watu wenye viungo zaidi au pungufu kwa sifa alizo nazo.. Shetani hayupo..
Kwa nini swali liwe "nani"?wameumbwa na nani?
[emoji16]vijana wa bongo bana. Kuna mwenzio humu alisikitika kifo cha mademu zake maria na consolataHawajamuoa huyu? mn mzuri
unataka liweje?Kwa nini swali liwe "nani"?
Mkuu hawa wanaongea wote??yani hivyo vichwa vinaongea kama mmoja au wawili??duniani kuna maajabu sana,haya mambo nilikuwa naona kwenye movie tu uongo uongo,kumbe yapo kweli2/Maria De Nazare
![]()
![]()
Huyu binti amezaliwa miaka 24 iliyopita na bado anadunda tu
Alizaliwa na vichwa viwili vinavyofanya kazi vizuri kabisa yaani kama aina fulani ile ya mnyama mwenye vichwa viwili sijui mnawita dragon
Wazazi wakaamua kumpa jina linalofanana na manaye Yesu Maria wa Nazareth ila usilitaje bure jina la Bikira Maria hivyo huyu anaitwa tu Maria De Nazare badala ya Nazareth
Huyu ni binti wa Kibrazil kiuhalisia ni mapacha walioungana yaani chini ni mtu mmoja ila juu ndo vichwa viwili au tuseme tu mtu mwenye vichwa viwili
Tofauti kabisa na wale akina Maria na Consolata huyu ni mtu mmoja kuanzia chini shingoni hadi miguuni ila ana vichwa viwili ndio maana anahesabika ni mtu mmoja tu
Huyo ni mtu mmoja mwenye vichwa viwiliMkuu hawa wanaongea wote??yani hivyo vichwa vinaongea kama mmoja au wawili??duniani kuna maajabu sana,haya mambo nilikuwa naona kwenye movie tu uongo uongo,kumbe yapo kweli
Sasa mkuu,kila kichwa kinafanya the same thing au tofautiHuyo ni mtu mmoja mwenye vichwa viwili
Kama unavyoona kwenye picha vichwa vyote vipo sawa kabisa
Siyo mimi nataka liweje.unataka liweje?