Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
- Thread starter
- #21
Jama
Katili sana aisee kumbe huu unyama alikuwa nao kitambo?. Nasikia walimla kinyeo na yeye Mozambique hii ni kweli?Lamwai si mtu kaka ,poleni ila najua hamkumjua lamwai mapema mkahisi ni binadamu .
Back in days alikuwa mwanangu sana ,mishe mingi tukafanya katika masikani ya machungwa keko ila shida moja mwana ni mzurumati na mbinafsi ila zaidi uwana uliisha pale nilipogundua alikuwa anamkafiri dogo Ritto kwa siri huku akimtishia maisha 😭😭
Naapa kuwa mimi si muuaji ila niliwahi kuwaza kumuuua huyu kindekela last time nikiwa bado kwenye vyombo vya dola alinikimbia pale Chipaka Tunduma ila kama akisoma hapa akumbuke nilichomuahidi .
Nilimweleza kuwa kamharibu dogo Ritto ,kakiuwa kizazi cha watoto wadogo niliowabeba kama watoto wangu kutokana na historia fanane ya maisha ila niliapa ipo siku yatamrudia .
Nikasema isingekuwa ban ya mimi kutoka bongo hakika ningemfuata huko kwa mandela .
Kama anasoma hapa mwambie mimi nipo na sijafa hivyo yale maovu kama anarudi Tanzania nitakuwa mmoja wa watakaolipia Chid ubaya wote .
Usela wa kitaa kwasasa ni nuksi wana ni masnitch alafu wajinga sana .
Lamwai wewe ni katili ,hufai kuishi ,hufai kuitwa mtu ila maiti inayotembea au shetani uliyeshushwa kukimaliza kizazi cha vijana wadogo