Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Endeleza busara zako MangiUsiteme bablishi kwa karanga za kuonjeshwa
Ni kweli kabisa😍Chozi Ni Kiwakilìshi Kizuri Cha Maneno Ambayo Moyo Hauwezi Kuyasema.
Daah hili ni tatizo sana kwa sasa, hasa vijana wadogo 18 - 257. Vijana waache kuangalia porn, ni hatari kwa afya ya akili na mwili
Dahh7. Vijana waache kuangalia porn, ni hatari kwa afya ya akili na mwili
💯 💯 💯 📌Panapohitaji PESA Usitumie MANENO, Utapoteza MUDA.
💯 💯 💯 tamaa zinaponzaUsiache mbachao kwa msala upitao
Wewe dada ukinitag utapungukiwa?