Watu tunajisahau sana, mambo gani ya msingi inabidi tukumbushane July hii?

Watu tunajisahau sana, mambo gani ya msingi inabidi tukumbushane July hii?

Usirudie bwana nina heshima zangu hapa jamvini bwana .

Sasa nichangie mada .
Jitahidi sana kutokunywa pombe za wapambe wa CCM nayo ni dhambi kama dhambi zingine .
Sawa sitarudia šŸ˜…

Wasinywe za CCM tu au wasipokee pombe zozote za wapambe wa vyama vya siasa?
 
7. Vijana waache kuangalia porn, ni hatari kwa afya ya akili na mwili
Kuna jamaa mmoja anajikuta ni askari hodari wa ku push agenda ya NoreNoel ila ikifika usiku kwenye magroup ya watsap yeye ndiye kinara wa kutuma ma video ya porn. Huwa nabaki kujiuliza ana matatizo ya kisaikolojia au ndio mmoja ya wahuni aliowasema Polepole.
 
Back
Top Bottom