Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Maisha ni safari ndefu. Vumilia na endelea kupambana. Ipo siku Mungu atakusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wewe hutokuja kuwa na familia mkuu?Yesu Mwenyewe mpaka anainua kwa Sir God alikua hajajenga.
We unazungumzia kujenga kwani ulikuja kulinda dunia mkuu!!!!?
Kula bata kufa sio ubaki unateseka na kujenga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sehemu chafu hivyo ndiyo unaita kula maisha?
Mbona hujilinganishi na wale wa umri wako waliokufa kabisa ? Pambana kwa uwezo wako. Wakati mwingine kuwa hai ni mafanikio pia mkuu tena mshukuru Mungu.Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha.
Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese kwa mfuga mbwa huku nimepanga vyumba viwili daaah
Tatizo umechanganya wivu na umaskiniYaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha.
Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese kwa mfuga mbwa huku nimepanga vyumba viwili daaah
Hizi ndio kauli zenu za kujipa matumaini!!?Hii dunia tunapita mwisho wa siku maua hunyauka,kumbukumbu husaulika na Historia zinafutika.
Unadhani Watoto watakaozaliwa 2300 Watamujua Magufuli???.relax siku ukifukiwa na Mchanga hamna atakaye kukumbuka wala kukumbuka uliacha nini.
Asante kwa ujumbe mzuri hapa sipo kwetu ndio tufanye kazi kwa bidii Mungu akikubariki zaidi utajenga na kununua gari ila sasa mkuu ishi kana kwamba Mungu amekupatia siku ya leo ifanyie kazi kwa bidii siku ya leo kana kwamba kesho hutafika halafu upatapo riziki toa zaka yaani pato lako mtolee Mungu au mshukuru yeye kwa kukuwezesha kukupatia riziki na penda sana kuwasaidia wasiojiweza na Mungu atakuwezesha na kukulinda kwa kuwa wewe unawajali wengine kwa kile kidogo unachopata!!!Acha ujinga ujenge kwani umeskia hapa Duniani Ni makao yetu ya kudumu..mji wetu uko mbinguni Hapa kikubwa tafuta hela ule maisha/matunda
Je ulikataa shule wakati wenzako wanasoma?Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha.
Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese kwa mfuga mbwa huku nimepanga vyumba viwili daaah.
Hii ni kweli na asilimia kubwa ya mafanikio ya watu behind the scene Kuna uhalifu mkubwa sana uwe wa damu or wiziMaisha yana siri nyingi ndugu.
Jifanyie tathmini ya mwenendo wako, ya watu yaache tu.
Wakati tuko chuo kuna jamaa kila mtu alikuwa anamtamani, hakuna siku ameishiwa; simu kali yeye, mademu wakali yeye... watu tunapambana na mikopo, mwenzetu anakula bata kama zoooote. Siri ya mafanikio wote tulikuwa tunajua ni graphic designer. Siku moja, news zinakuja kauawa kwenye mapambano na polisi.... tukabaki tunashangaa. Kumbe mwenzetu shughuli nyingine alikuwa dereva wa wazee wa kazi(majambazi), sometimes anapotea tunajua ni bata, kumbe yuko kazini. Tangu hapo nimejifunza ku-mind my own business, vya watu viache tu; vina siri sana, ingawa haimaanishi kila mwenye mafanikio ni magumashi, ila usijipime sana na wenzako. Kuna siri nyingi sana
Chumba na sebule!! Mbona wewe umetusua mzee...mimi jirani yako hapa chumba kimoja nasumbuana na mwenyenyumba.Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha.
Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese kwa mfuga mbwa huku nimepanga vyumba viwili daaah.