Watu unawezaje kuishi kwa mshahara wa lakimbili na nusu Bila marupu rupu

Watu unawezaje kuishi kwa mshahara wa lakimbili na nusu Bila marupu rupu

Hivi ni kweli kwa mshahara wa laki mbili nanusu tutajenga daslamu

  • Tutajenga kwa kuhifadhi kidogo dogo

    Votes: 4 57.1%
  • Tutajenga kwa mkopo

    Votes: 3 42.9%

  • Total voters
    7

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Life La Dsm linafurahisha sana mshahara unaishia "kwenye malazi na makadhi" hapo hatujaweka mavazišŸ˜‚hapo bado mupenzi hajaomba chochote kitu
 
Life La Dsm linafurahisha sana mshahara unaishia "kwenye malazi na makadhi" hapo hatujaweka mavazišŸ˜‚hapo bado mupenzi hajaomba chochote kitu
Unadhani Kwa kua wewe ni "SIMP",unawahonga Malaya laki 1 na wenzako wanafanya hivo?,........huyo Malaya unayemuonga laki, wenzako wanamgonga kwa luku na vocha za buku 4 tu,...................wewe unampeleka mpenzi wako KFC munachoma 40K,,kwa kisingizo cha DATE,akirudi mtaani kwao,wenzako wanamfi.ra kwenye magheto yao ambaya hayana hata umeme,na mafuta ya nazi anakuja nayo yeye mwenyewe,shituka kijana,usikalili maisha
 
Unadhani Kwa kua wewe ni "SIMP",unawahonga Malaya laki 1 na wenzako wanafanya hivo?,........huyo Malaya unayemuonga laki, wenzako wanamgonga kwa luku na vocha za buku 4 tu,...................wewe unampeleka mpenzi wako KFC munachoma 40K,,kwa kisingizo cha DATE,akirudi mtaani kwao,wenzako wanamfi.ra kwenye magheto yao ambaya hayana haya umeme,na mafuta ya nazi anakuja nayo yeye mwenyewe,shituka kijana,usikalili maisha

Hatari sana
 
Mbona wapo wasiokua na kazi maalum wala mishahara na wanaishi?
Maisha nikuchagua upande wa kusimama
 
Kwani lazima kujenga bro?
Wewe unadhani Kila mtu ana nyumba yake amejenga.
Kuna watu hata hawajui bei ya misumari ila wapo wanadunda,yaani wanakula,wanalala na wanaamka
 
Back
Top Bottom