Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Bush Dokta umewahi katwa na panga kweli waoa hawanashida , kingine uchawi kila mtu anao ila jamani wao ni wabaya katika kitu kinaitwa emuongo ni wameru wakikuona unakula sana sana nyama au ukaenda kwake bila ridhaa yake unaumwa na tumbo unaweza kufa .

Wanatabia hiyo sio kwa kila mmeru unakula
 
in short kwa northern Tanzania ndo kuna best women's /wife

very Faithful, hardworking,god fearing we love you our queens wherever you are 🙌🙏
You are right. Huyu Bidada Mke wangu sijawahi kumtilia shaka hata siku moja.

Pamoja na kwamba anasafiri mikoani kwenye biashara lakini bado ni mtulivu na heshklima.
 
Uzoefu ninao mkubwa sana tena wa miaka 10.Ni jamii ya hovyo sijapata kuona.Jeuri,kiburi,dharau,ugomvi,hasira zisizo za msingi muda wote.Ni wajinga jinga hivi na ubinafsi wa hali ya juu wote.Kuanzia dada zao mpaka kaka zao.
Naripoti toka Tengeru hapa mkuu,najua ninachokisema
Tena we wa tengeru ndio unafaa kuaminiwa kabisa namshangaa mleta mada
Mmeru bila shari hauishi nae yani kwenye ubinafsi hapo ni usipime
 
Sasa hayo yote mbona ukienda tanga utayapata tena na zaidi na wanawake wa tanga siyo wakali kama hao wameru, kwanza nimeshangaa yani ndio nasikia kwa mara ya kwanza mtu anasema wanawake wa kimeru ni wakali kidogo, wakati miaka yote nimekuwa nikisikia wameru ni moja ya makabila ambayo wanawake wake ni wakali na wana roho mbaya pamoja na uzuri walionao
 
Back
Top Bottom