Waliokwambia ni marafiki zako wakiume ambao ni Wameru? Ukinijibu nitakwambia WhyMmeru!?? Mkuu hawa watu ni ๐ฅ Nina marafiki zangu wameru wao wanasema kabsa nisije kupotea njia nikaanzisha rileshenishipu na mmeru! Utajua haujui
Wewe pia ni Mmeru?Tupo nao huku Arusha ni hatari sana
Basi uko sahihiNimeishi huko hadi nikapata Jiko
๐๐๐๐๐๐jichanganye uoneKwa mara ya kwanza duniani ndio nimesikia wameru "ni wakali kidogo"
You are right. Huyu Bidada Mke wangu sijawahi kumtilia shaka hata siku moja.in short kwa northern Tanzania ndo kuna best women's /wife
very Faithful, hardworking,god fearing we love you our queens wherever you are ๐๐
Hahahah๐๐๐๐๐๐jichanganye uone
Tena we wa tengeru ndio unafaa kuaminiwa kabisa namshangaa mleta madaUzoefu ninao mkubwa sana tena wa miaka 10.Ni jamii ya hovyo sijapata kuona.Jeuri,kiburi,dharau,ugomvi,hasira zisizo za msingi muda wote.Ni wajinga jinga hivi na ubinafsi wa hali ya juu wote.Kuanzia dada zao mpaka kaka zao.
Naripoti toka Tengeru hapa mkuu,najua ninachokisema
Mimi Sio Mmeru ila hata vijana wa Kimeru wanawaogopa sana dada zaoWewe pia ni Mmeru?
Wewe ni kabila gani?Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.
Sema umebahatika kumpata huyo ila usiwasemee wengineYou are right. Huyu Bidada Mke wangu sijawahi kumtilia shaka hata siku moja.
Pamoja na kwamba anasafiri mikoani kwenye biashara lakini bado ni mtulivu na heshklima.
Babu zake wote kwa Mama na Baba ni Purely wameru.Kumbe [emoji3][emoji3] huyo wako atakua kachanganyikana na kabila lingine
MnyamweziWewe ni kabila gani?
Ndio maana nilitoa interest yangu, lakini pia nimetazama kwa ujumla namna wanavyofundishwa wakiwa wanaelekea kuwa watu wazimaSema umebahatika kumpata huyo ila usiwasemee wengine
unacheka nini sasa๐๐๐Hahahah
Unavyotisha watuunacheka nini sasa๐๐๐