ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Alaa kumbeHuwajui wameru vizuri wewe😃😃, Wana dharau na hasira vibaya mno, mwanamke unagombana nae anaanza kutafuna shuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaa kumbeHuwajui wameru vizuri wewe😃😃, Wana dharau na hasira vibaya mno, mwanamke unagombana nae anaanza kutafuna shuka
Ubaya UbwelaWe huogopi?
Naishi nao na watu wengi wanawalalamikia.Mweee......we pia una uzoefu nao.
Hata hivyo ni vizuri kuchanganya kabila ili kuleta kizazi bora ktk uzao wako.
Sio mnyachusa unajaza wanyachusa wenzako.
Nimeshaeleza hili comment #45Naishi nao na watu wengi wanawalalamikia.
Utakuwa unapigwa makofi sana wewe, hakuna jamii ya kitanzania tofauti na wao kwa wao wanaweza wakaoa mwanamke mmeru au mwanamke akaolewa na kijana wa wakimeru ni wapuuzi, wajingawajinga, ubinafsi,ujuaji, ukabila ndio kabisa umeota mizizi. Tz Nzima jamii ya hovyoo ni hawa wameru, lugha chafu iwe baba kwa mtoto au mtoto kwa baba hovyoo kabisa. Nipo hapa singisi walipolima LAMI!Nimeishi huko hadi nikapata Jiko
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.
Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.
Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.
Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.
Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.
Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.
1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.
5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.
8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.
Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
Nimeishi huko hadi nikapata Jiko
Labda una date na demu tu wa kimeru sio mke , aisee Bora ukaoe mchaga mmachame mtapambana taratibu hadi atakapokuua utakuwa kidogo ulifurahia mahusiano yenu kwenye ndoa lakini sio wameru nimadate nao na nawafahamu ni chenga mno
Hamna lolote , Mimi ninaye miaka 18 sasa...matatizo na changamoto ni kawaida tu! Ila hawaonewi😁Mmeru!?? Mkuu hawa watu ni 🔥 Nina marafiki zangu wameru wao wanasema kabsa nisije kupotea njia nikaanzisha rileshenishipu na mmeru! Utajua haujui
Pole kwa kukutana na waleviMapenzi yenyewe hawajui, zaidi utaambulia kununua k vant na konyagi anywe kila siku..... Hana la maana zaidi ulevi na ndio wauzaji wa nyapu pale SHIVAZII.
Mkuu hongera, ujengewe sanamu lako.....Hamna lolote , Mimi ninaye miaka 18 sasa...matatizo na changamoto ni kawaida tu! Ila hawaonewi😁
Mhhh na Manyara?!🤭😂in short kwa northern Tanzania ndo kuna best women's /wife
very Faithful, hardworking,god fearing we love our queens wherever they are 🙌🙏
Wameru most of them ni walevi hasa wanawake wao.....Pole kwa kukutana na walevi
Hasira zao sijui nani kawapa!Hamna lolote , Mimi ninaye miaka 18 sasa...matatizo na changamoto ni kawaida tu! Ila hawaonewi😁
Umemaliza yote kunywa Soda kwa Mangi nitakulipia.Uzoefu ninao mkubwa sana tena wa miaka 10.Ni jamii ya hovyo sijapata kuona.Jeuri,kiburi,dharau,ugomvi,hasira zisizo za msingi muda wote.Ni wajinga jinga hivi na ubinafsi wa hali ya juu wote.Kuanzia dada zao mpaka kaka zao.
Naripoti toka Tengeru hapa mkuu,najua ninachokisema