Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Mweee......we pia una uzoefu nao.

Hata hivyo ni vizuri kuchanganya kabila ili kuleta kizazi bora ktk uzao wako.

Sio mnyachusa unajaza wanyachusa wenzako.
Naishi nao na watu wengi wanawalalamikia.
 
Labda una date na demu tu wa kimeru sio mke , aisee Bora ukaoe mchaga mmachame mtapambana taratibu hadi atakapokuua utakuwa kidogo ulifurahia mahusiano yenu kwenye ndoa lakini sio wameru nimadate nao na nawafahamu ni chenga mno
 
Nipo MERU hapa Tengeru, jamii Nzima ya wameru wanawake ndio wenye sauti na mamlaka kwenye familia zao!!, Hakuna jamii yenye wanawake wahovyo na wenye midomo michafuu Duniani kama wameru.
Hawana heshima,wanawadharau waume zao, wahovyo kuwahi kutokea asee!.
 
Bush dokta ungepewa stori kidogo kuhusu mgogoro wa dayosisi uliotokea huko Meru miaka ya 90 ndo ungejua balaa la wameru hasa hao wanawake zao. Hao viumbe wakikasirika wanakatakata migomba utadhani ndo iliyowakosea. Na daima mkigombana lazima mama mkwe aingilie na kusimama na bintiye. Inakuwa vita mbaya sana dhidi yako. Na kama ni mwanaume dhaifu, binti na mama yake lazima waje kukupa kipigo.
 
Nimeishi huko hadi nikapata Jiko
Utakuwa unapigwa makofi sana wewe, hakuna jamii ya kitanzania tofauti na wao kwa wao wanaweza wakaoa mwanamke mmeru au mwanamke akaolewa na kijana wa wakimeru ni wapuuzi, wajingawajinga, ubinafsi,ujuaji, ukabila ndio kabisa umeota mizizi. Tz Nzima jamii ya hovyoo ni hawa wameru, lugha chafu iwe baba kwa mtoto au mtoto kwa baba hovyoo kabisa. Nipo hapa singisi walipolima LAMI!
 

Kaoe mmoja halafu uje kutoa majawabu
 
Mapenzi yenyewe hawajui, zaidi utaambulia kununua k vant na konyagi anywe kila siku..... Hana la maana zaidi ulevi na ndio wauzaji wa nyapu pale SHIVAZII.
Labda una date na demu tu wa kimeru sio mke , aisee Bora ukaoe mchaga mmachame mtapambana taratibu hadi atakapokuua utakuwa kidogo ulifurahia mahusiano yenu kwenye ndoa lakini sio wameru nimadate nao na nawafahamu ni chenga mno
 
Mmeru!?? Mkuu hawa watu ni 🔥 Nina marafiki zangu wameru wao wanasema kabsa nisije kupotea njia nikaanzisha rileshenishipu na mmeru! Utajua haujui
Hamna lolote , Mimi ninaye miaka 18 sasa...matatizo na changamoto ni kawaida tu! Ila hawaonewi😁
 
Mapenzi yenyewe hawajui, zaidi utaambulia kununua k vant na konyagi anywe kila siku..... Hana la maana zaidi ulevi na ndio wauzaji wa nyapu pale SHIVAZII.
Pole kwa kukutana na walevi
 
Siwajui sana lakini inawezekana mkawa mnahukumu jamii za watu kutokana na historia na kuwaharibia watu humu waliokuwa na mahusiano mazuri labda wangefikia hatua ya ndoa, binafsi sioni jamii ambayo imetulia,nikuomba Mungu upate mtu sahihi na si jamii aliyotoka
 
Umemaliza yote kunywa Soda kwa Mangi nitakulipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…