Papaa_Mobimba
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 208
- 377
Hahahhahaha.Kula bia mzee baba ...unawaza kujenga kwan ww Konoike?
Cocoriko ni Bonge la Kiwanja Aisee.Cocoriko
Mm najuta siko huko..dah...tungekula biaaa😂😂😂Anatutafuta wadangaji😆😆, yupo serious kweli huyu?
Tembelea pale VIVAN upate joto...kila kitu kinapatikana ni wewe tu kuchagua size yako..Jioni tunakuwa ndani, nje baridi
SawaTembelea pale VIVAN upate joto...kila kitu kinapatikana ni wewe tu kuchagua size yako..
Uliingia wapi na wapi....??????Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar??Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehem yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote........hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,
Hahah sehemu gani hizi unamuelekeza mwenzioshivaz
Kokoriko kumepoa sana Kwa hizi siku za kawaida tunakuwa watatu tuuu,nilienda Ile ya tripple A nikaenda na Ile ya kujenga tukajikuta tupo WA tatu tuuu lolCocoriko ni Bonge la Kiwanja Aisee.
Kaka Raha ya perdiem hata ikiwa buku lazima iishe ,unarudi nayo Vipi kwako perdiem ??Iyo per diem yako ya elfu 90 ndio unataka usumbulie watu
Dah,hii kweli aiseee,mm sipendi vibovu Bora Nile MTU nisijue anajiuzaKama umezoea mademu na viwanja vya Dar na mademu wa dezo ukaenda mkoani unaweza kuishia kupiga punyeto.
Mwaka 2014 nilienda Tanga, siku 4 niliishia kukasirika sana hadi nikaimport mtoto mzuri kutoka Moshi, niliporudi Tanga muda mwingine nikamcheki mdau akanipa connection nikawa najilia vimwana tu.
Mikoani bila connection unaweza kuishia kuzoa matakataka ukajiona mjanja huku washkaji wanakucheki tu.
Arusha nina mademu kama 10, hua nikifika hapo wala hua sihangaiki kabisa.
Arusha hakuna Tinder? Tumia hiyo kuzoa wanafunzi vya chuo mkuu.
Nimefika at least panavutia karibuni Arushanenda cocorico
Cocoriko ni Bonge la Kiwanja Aisee.
shivaz
.......Nimefika at least panavutia karibuni Arusha
Picnic nyuma ya sokoine roadWatu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?
Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote.
Hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,