Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

Old shivaz soon tynaifungua,itakuwa nite club pia na jina litabadilika
Itakuwa poa sana
Haha tatizo pale wale wadada wanaboaaa wanafanya hadi sie wastaarabu tunaogopa ile njia ikishaanza kuingia Giza
 
Kama hela ya bata ipo inamanisha hela ipo mtaani ,msiseme rais kafanya maisha kuwa magumu
 
Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?

Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote.

Hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,

Ningekushauri uende kambi ya fisi au olmatejoo. Ila naona huu uzi ulikuwa wa muda uliopita
 
Club Cocoriko Kijengejuu,,Shivaz,Matacall bar,Sakinade kule
 
Back
Top Bottom