kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Acha kabisa hilo eneo na karatuNjoo Mtowambu kijana naamin utaenjoy sana ila hakikisha nauli ya ibaki Arusha ili ukiishiwa hapa Mtoni tutakuombea lifti kwenye magari ya tours kurudi Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa hilo eneo na karatuNjoo Mtowambu kijana naamin utaenjoy sana ila hakikisha nauli ya ibaki Arusha ili ukiishiwa hapa Mtoni tutakuombea lifti kwenye magari ya tours kurudi Arusha
Haha tatizo pale wale wadada wanaboaaa wanafanya hadi sie wastaarabu tunaogopa ile njia ikishaanza kuingia GizaOld shivaz soon tynaifungua,itakuwa nite club pia na jina litabadilika
Itakuwa poa sana
Wanarosti firigisi pale ni hatari, sema Giza likianza kuingia napaogopaYah picnic pale karibu na new shivaz
Yah kuna vibaka hatari, pia ni changanyikeni sanaWanarosti firigisi pale ni hatari, sema Giza likianza kuingia napaogopa
Mzee ukionekana ile njia ni noma hunaonekana mteja, kwa msichana muuzajiUnatembeaga kwa miguu si una gari wewe
Tupe details tunampango wa kuibukaAcha kabisa hilo eneo na karatu
Ahh noma asee ka friji mamalaiA town greenish [emoji1690][emoji1690] ila baridi lake waiii[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan sana mkuu,Maisha haya corona imeua arusha
Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?
Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote.
Hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,
Kwa hiyo nisijeko?Yan sana mkuu,
Chuga impoa mno
Arusha kumepoa sana . #coronaisreal