Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar??Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehem yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote........hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,
Uliingia wapi na wapi....??????

Tuanzie hapa....
 
Kama umezoea mademu na viwanja vya Dar na mademu wa dezo ukaenda mkoani unaweza kuishia kupiga punyeto.

Mwaka 2014 nilienda Tanga, siku 4 niliishia kukasirika sana hadi nikaimport mtoto mzuri kutoka Moshi, niliporudi Tanga muda mwingine nikamcheki mdau akanipa connection nikawa najilia vimwana tu.

Mikoani bila connection unaweza kuishia kuzoa matakataka ukajiona mjanja huku washkaji wanakucheki tu.

Arusha nina mademu kama 10, hua nikifika hapo wala hua sihangaiki kabisa.

Arusha hakuna Tinder? Tumia hiyo kuzoa wanafunzi vya chuo mkuu.
 
Dah,hii kweli aiseee,mm sipendi vibovu Bora Nile MTU nisijue anajiuza
 
Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?

Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote.

Hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,
Picnic nyuma ya sokoine road
 
Back
Top Bottom