Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

Wajanja wamezama Mererani kusaka jiwe, subiri hapo hapo ukidhani, Chuga sawa na wanaume wa dar kujaza bar asubuhi hadi jioni akinywa bia moja...
 
Mkuu sehemu za bata A town kuna picnic, annex mrina , pinpoint , na kwa pande za njiro ni double tot pale nane nane
Enzi za shivaz ilikuwa ni balaa ila imefungwa mwaka huu
 
Njoo Mtowambu kijana naamin utaenjoy sana ila hakikisha nauli ya ibaki Arusha ili ukiishiwa hapa Mtoni tutakuombea lifti kwenye magari ya tours kurudi Arusha
Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?

Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote.

Hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,
 
Upo sawa mkuu na ndo ukweli kabisa
Kama umezoea mademu na viwanja vya Dar na mademu wa dezo ukaenda mkoani unaweza kuishia kupiga punyeto.

Mwaka 2014 nilienda Tanga, siku 4 niliishia kukasirika sana hadi nikaimport mtoto mzuri kutoka Moshi, niliporudi Tanga muda mwingine nikamcheki mdau akanipa connection nikawa najilia vimwana tu.

Mikoani bila connection unaweza kuishia kuzoa matakataka ukajiona mjanja huku washkaji wanakucheki tu.

Arusha nina mademu kama 10, hua nikifika hapo wala hua sihangaiki kabisa.

Arusha hakuna Tinder? Tumia hiyo kuzoa wanafunzi vya chuo mkuu.
 
Mkuu sehemu za bata A town kuna picnic, annex mrina , pinpoint , na kwa pande za njiro ni double tot pale nane nane
Double tot ni hatari sema pafinyu, The picnic ile karibu na new shivaz? Kule sikanyagi aisee
 
Double tot ni hatari sema pafinyu, The picnic ile karibu na new shivaz? Kule sikanyagi aisee
Old shivaz soon tynaifungua,itakuwa nite club pia na jina litabadilika
Itakuwa poa sana
 
Back
Top Bottom