Watu wa Arusha na haraka zao!

Hujafika bila shaka
Huyu mkuu nilimsoma mahali kuwa anawaponda watu wa Dar.
Sasa labda kaanza kuitembelea Arusha, ngoja tusubiri alete ushuhuda wa Dar pia
 
Hossam kikusahihishe na kukupa mwanga kidogo.
1. Ngarenaro kubwa kuliko Arusha.
.....huu ni msemo hutumika kuwadhihaki..
Wairaq/wambulu wanapokuja mjini kwa mara ya kwanza, wanaposimylia husema...kumbe GARENARO ni kubwa kuliko Arusha

2. Boda boda kuwa na haraka na kutoheshimu taa hii ni kweli...nchi nzima na sio Arusha, hivyo tembea uone.

3. Kutoheshimu foleni bank????
Hii sio kweli.

4. Kutokuwa na utaratibu sehemu za huduma kama mgahawani...hapa inaonyesha ulifikia na kula usqahilini.
Nakushauri fika migahawa ya kisasa ujifunze kitu
 
Wana reflect akili halisi za mwafrika mweusi. Wao wana hayo ukienda kwingine na wao wana yao. Mradi ndivyo tulivyo miafrika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MAMBO NI MENGI MUDA NI MCHACHE CHAPCHAP MWENDO WA NGIRI HAINA KUCHIMBA DAWA HIYO MBELEMBELE YAO
 
Millard ayo alikuwa anaripoti ajali kila siku mpaka akazuiwa kwa kuzua taharuki
 
Hujafika bila shaka
Hajafika pale,
si chini ya 15 kwa siku boda wanaingia na kukatwa miguu.ni sekunde tu ili muuza magongo akuletee gongo lako, ndugu walipe laki na kitu, kitanda zaidi ya 50 kwa siku Bado hujala mpk ndugu wakukute pale una deni 700000 ,mil+ hayo nimeyaona mwenyewe ward kibasila pale.
Na haikuwa boda? Ajali ya gari iligeuzwa boda ili nichinjwe mguu wafanye biashara yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…