Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujafika bila shakaKule ni number two mkuu. Chuga noma
Huyu mkuu nilimsoma mahali kuwa anawaponda watu wa Dar.Hujafika bila shaka
Uki itajika unaweza kuthibitisha pasipo na shaka...🤓🤓🤓🤣🤣🤣😂Wengi wao wanabwia ugoro na kuvuta bangi
Acha kabisa, tunasingiziwaHATIMAE TUMEFIKIWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapo pia vijana wanaopush Subaru zile zenye makelele sana. Aisee hawa ukimuovertake anakukimbiza bila kujali unaelekea wapi. Hawa nao huwa hawapendi kupitwa hata iweje. Utamuona anakakamaa anakanyaga mafuta hata kama ulikuwa unaelekea Ngaramtoni yeye kwa hasira alizokuwa nazo anasepa hadi Namanga!
Bangi haifanyi mtu akili icheze,Wengi wao wanabwia ugoro na kuvuta bangi
ThanksKiasi kikubwa uko sawa,
Ila Wakazi wa huku tunajikubali sana
Watembea kwa miguu:
Hawa hawana tofauti sana na ndugu zao wa Bodaboda. Hawa wao kukatisha barabara hata pasipo na zebra ni kawaida sana. Tambua mapema kuwa kwenye mataa green light siyo lazima wao wakusubiri. Utalazimika kuwasubiri wao na Ole wako mguse mmoja.
Millard ayo alikuwa anaripoti ajali kila siku mpaka akazuiwa kwa kuzua taharukiArusha ni republic kamili ukifika lazima uanzishe uzi maana ni ndoto ya wa Tz wengi
Haya tuambie ni mkoa gani Tz Bodaboda ni wastaarabu?
Fujo unazo zisema zipo barabarani hazina ukweli wowote kama kweli zingekuwepo basi kila siku zingeripotiwa ajali mbaya
Hajafika pale,Hujafika bila shaka