maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu kiunoni.
Akawa anapita kila banda anataka matunda yaani chochote anachotaka wengine wakawa wanampa wengine hawampi.
Nikauliza nikaambiwa jamaa Likua Jambazi mbaya sana ila wamemloga..ila anajitambua na ni mbabe kweli hao wahuni wenyewe wa Unga ltd, Bagdad kule ngaramtoni..Daraja mbili walikua wanamgwaya
Fast Forward nikamaliza shule nikapangiwa mkoa wa mbali.
Hebu Arushaone pakajimmy na crew yote ya Arusha mniambie SHABIKI Yupo? Na Hali yake ikoje?