tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena.
Wananchi wa kitanzania siku wakija kuacha kushibishwa kwa siku moja ili wauzwe maisha yao na vizazi vyao ndipo wataanza kuwa na msimamo na kutaka utawala bora unaojali wananchi wake.
Soma pia: Bila kujali hadhi ya mtu, jinsia au dini suala la kutoa baiskeli na fedha, na tshirt kuelekea uchaguzi mkuu hii ni rushwa haijarishi wewe ni rais