Watu wa Arusha tupeni mrejesho ,Je Nandy alifanya show yake huko Arusha?

Watu wa Arusha tupeni mrejesho ,Je Nandy alifanya show yake huko Arusha?

Nani aikuambia kuna show ya Nandy wakati hakuna mahala popote ilipotangazwa?
Nimeambiwa Arusha hawakuwa na taarifa zozote kuhusu show ya Nandy...
Alitangaza mwenyewe, sio Arusha tu hadi mikoa mingine. Lakini kashindwa, atafanya ya Zanzibar tu, huku Tanganyika kimemlamba
Screenshot_20251221-142129_1.jpg
 
Back
Top Bottom