Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Alitangaza mwenyewe, sio Arusha tu hadi mikoa mingine. Lakini kashindwa, atafanya ya Zanzibar tu, huku Tanganyika kimemlambaNani aikuambia kuna show ya Nandy wakati hakuna mahala popote ilipotangazwa?
Nimeambiwa Arusha hawakuwa na taarifa zozote kuhusu show ya Nandy...
Show ilikua cancelled, hata ya mwanza nayo imekua cancelled. Atafanya ZanzibarAlipigwa show arusha, bhaas! Hilo ndilo tunalojua hadi sasa.