Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

Mentality ya Uto huwa haitegemeani na umri wa mtu as long as umekuwa Uto basi kila kitu kitapita kwenye flow moja.

Kipindi Manara amefungiwa mlisema Simba inabebwa na TFF na mlitishia kuandamana kwa mama

Kipindi CAF wamekuja Arusha na Simba ikapewa mualiko na nyie hamkualika, mlisema CAF inaibeba Simba.

Now kwenye ishu ndogo ya kupostiwa (ambayo hata nyinyi mnapostiwa) bado malalamiko ni yale yale "admin wa CAF ni Simba.

Hii Club ina malalamiko sana au ndio kusema Utophobia?
Kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa kimewawehusha makolo. Sasa njooni mgombee kombe la Azam. Wekeni huko nguvu kubwa kwani ubingwa wa tz pia mmeukosa mfululizo.
 
Huu ni upumbavu mtupu umeandika hapa, Admin wa CAF ni Mtanzania na ni Simba lialia.

Chukuwa hiyo kama ulikuwa hujui, au muulize Ahmed Ally hadi huwa anatamba kesho watapostiwa na kweli Simba inapostiwa.

Sasa angalia Mamelodi Sundowns watakachowafanya hao Wydad utawaonea huruma.
Haya makasiriko ulisomea wapi?

Kule CAF habari za Simba huwa zinapostiwa kwenye page official ya CAF kwa lugha yao, na moto wa mashabiki wa Simba huonekana pote, sasa wewe utopolo.. chura...
 
Hivi uko serious kweli humjui Admin wa CAF au unaleta ligi za kitoto!?
Hebu tumia akili bana, huyo Admin wa CAF kwani huwa anapost habari za Simba pekee?

Mbona kwa wengine mambo huwa hayawi moto wakipostiwa kama mpto unavyowashwa kwa Simba?

Utopolo kubali tu, uwepo wa Simba SC unachangamsha sana hayo mashindano ya CAFCL.
 
Hebu tumia akili bana, huyo Admin wa CAF kwani huwa anapost habari za Simba pekee?

Mbona kwa wengine mambo huwa hayawi moto wakipostiwa kama mpto unavyowashwa kwa Simba?

Utopolo kubali tu, uwepo wa Simba SC unachangamsha sana hayo mashindano ya CAFCL.
Yaani mashindano yameanzishwa 1964 Simba imeshiriki mara kadhaa, haijawahi kuwa Bingwa Wala kufikiriwa kuwa Bingwa ata ushirikiwake kwenye mashindano ayo unahesabika.
Leo kutokuwepo Kwa Simba mashindano ya Caf ya pooze!!!! Kwa hakika Rage ajengewe mnara [emoji3][emoji3]
 
View attachment 2603973

Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa

Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo wakianza kuzoeleka kwenye mashindano haya

Sababu unajua ni nini? Zipo 3

1. katika timu zote zinazoshiriki mashindano ya CAF, Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi mtandaoni, na post za CAF zinazoihusu Simba hupata engagement kubwa kuliko post za timu nyingine

Kuwa na mashabiki wengi kunaifanya mashindano kuwa na uhai, au kuwa na moto🔥, na nadhani husadia pia kuvutia sponsors zaidi, kumbuka kati ya changamoto zinazokabili mashindano mengi ya Afrika ni kukosa mashabiki (tofauti na UEFA au South America)

2. Kingine ni mashindano haya yamekuwa dominated sana na timu za kiarabu na kuyafanya yaonekana kama mashindano ya Waarabu badala ya Waafrika kiujumla, kuwepo kwa timu kama Simba husaidia kuleta diversity


4. Pia katika club za Sub Sahara zinazoshiriki, nyingi huwa hazina mashabiki wengi uwanjani, achilia mtandaoni, isipokuwa kwa Simba, tuliona jinsi viwanja vya timu kama Horoya, Vipers, Cotton Sports, Mamelodi, hata timu za Shirikisho kama zinazotoka Sub Sahara kama Rivers huwa hazina mashabiki wengi kama timu za Tanzania
Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC Ngada FC Sembe FC.
 
Kuna watanzania ushabiki unawafanya kuwa na akili finyu sana
 
Simba lini walifanya vizuri michuano ya KIMATAIFA?
 
Point yako namba moja sio kweli.
Simba sio kwamba ndio timu inayoongoza kwa mashabiki wengi mtandaoni kwa timu zinazoshiriki mashindano ya CAF. Al Ahly ana mashabiki wengi kuliko Simba au Al Ahly hawapo kwenye mashindano ya CAF?

ukweli ni kwamba katika mashindano ya CAF, timu za Tanzania ndio ina mashabiki wanaopenda ujinga mwingi, na upumbavu mwingi hivyo hufanya page za CAF zichangamke kwa comments. Kuna timu zina follower wengi kuliko Simba watapostiwa na CAF lakini mashabiki wao hata hawajali wanaona kitu cha kawaida tu. Ila timu zetu za Kariakoo wakipostiwa Simba, utaona mashabiki wa Simba na Yanga watajazana na kutoa comments zingine hata hazihusiani na post husika. Hivyo hivyo wakipostiwa Yanga hivyo hivyo, mashabiki wa Simba na Yanga hao hao watajazana humo kwenye post ya CAF. Admin nae kaishajua atembee vipi ili page isipooze, ndio hapo utakuta anaenda na timu za kariakoo, kutolewa kwa Simba kwao ni kama kufa kwa mchekeshaji mmoja nguli na kubakia mchekeshaji mmoja anayechipukia.

Hawashii tu hapo kwa CAF bali watajazana hadi kwenye page za timu pinzani kwenda kuwakera, timu zetu ni underground na mara nyingi underground huwa wanapenda kufosi kujulikana ili watoke kwenye huo underground.

Kwenye ishu ya mashabiki uwanjani, upo sahihi. Ukiachana na timu za kiarabu basi timu ya Simba inayofuatia kwa mahudhurio mazuri ya mashabiki ikifuatiwa na Yanga. Kwa kifupi ukiachana na mataifa ya kiarabu, Tanzania tunafuatia kwa kupenda kushabikia timu viwanjani.
Umemaliza kiongozi wangu

Topic closed
 
Back
Top Bottom