Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

Kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa kimewawehusha makolo. Sasa njooni mgombee kombe la Azam. Wekeni huko nguvu kubwa kwani ubingwa wa tz pia mmeukosa mfululizo.
 
Haya makasiriko ulisomea wapi?

Kule CAF habari za Simba huwa zinapostiwa kwenye page official ya CAF kwa lugha yao, na moto wa mashabiki wa Simba huonekana pote, sasa wewe utopolo.. chura...
 
Hivi uko serious kweli humjui Admin wa CAF au unaleta ligi za kitoto!?
Hebu tumia akili bana, huyo Admin wa CAF kwani huwa anapost habari za Simba pekee?

Mbona kwa wengine mambo huwa hayawi moto wakipostiwa kama mpto unavyowashwa kwa Simba?

Utopolo kubali tu, uwepo wa Simba SC unachangamsha sana hayo mashindano ya CAFCL.
 
Yaani mashindano yameanzishwa 1964 Simba imeshiriki mara kadhaa, haijawahi kuwa Bingwa Wala kufikiriwa kuwa Bingwa ata ushirikiwake kwenye mashindano ayo unahesabika.
Leo kutokuwepo Kwa Simba mashindano ya Caf ya pooze!!!! Kwa hakika Rage ajengewe mnara [emoji3][emoji3]
 
Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC Ngada FC Sembe FC.
 
Kuna watanzania ushabiki unawafanya kuwa na akili finyu sana
 
Simba lini walifanya vizuri michuano ya KIMATAIFA?
 
Umemaliza kiongozi wangu

Topic closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…